sina raha na ndoa yangu......

fimbombaya

Member
Apr 11, 2011
47
12
heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife kuhitimu masomo yake ambayo pia nilimgaramia kama njia ya kumkwamua kielimu na kwa maisha ya baadae kwani amebadilika na kufikia hatua ya kunitamkia kuwa ni kheli tuachane na kila mtu aishi maisha yake kwa kua kama kazi anayo na anaweza kujitegemea.na sababu kubwa iliyopelekea yote hayo ni baada ya kugundua kua anamahusiano ya kimapenzi na bwana mmoja na nilipomuuliza likanusha na kudai nisimfatilie na nimwache na maisha yake,

tuna mtoto 1,naombeni busara zenu
 
...Pole sana...sasa umeshatamkiwa hivyo na mkeo unasubiri nini tena kufanya maamuzi mazito? au unataka akuletee mtoto wa nje ya ndoa?


heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife kuhitimu masomo yake ambayo pia nilimgaramia kama njia ya kumkwamua kielimu na kwa maisha ya baadae kwani amebadilika na kufikia hatua ya kunitamkia kuwa ni heri tuachane na kila mtu aishi maisha yake kwa kua kama kazi anayo na anaweza kujitegemea.na sababu kubwa iliyopelekea yote hayo ni baada ya kugundua kua anamahusiano ya kimapenzi na bwana mmoja na nilipomuuliza likanusha na kudai nisimfatilie na nimwache na maisha yake,

tuna mtoto 1,naombeni busara zenu
 
Ndoa ndoano. Tuliza moyo japo siku tatu bila kumsimulia jirani. Mshirikishe Mungu kwa karibu akuoneshe kama kweli huyo mamaa ni wako wa shida na raha.
 
pole mkuu Fimbombaya! Tulia; watafute wazee wenye busara wa upande wako, kisha wazee wa upande wa huyu bibie, itisha kikao na huyu shemeji yetu akiwepo; mwaga kuku kwenye mtama. Baada ya hapo kitaeleweka tu! Mambo yatakuwa mazuri tu, usikate tamaa.
 
I've learned..
I came alone and i've to go alone
I've learned
People r with u only when they need u, not otherwise
I've learned.
Extra care of anyone by you will ultimately bring a blame for you, not appreciation
I've learnd..
A simple LIE of ur close one can break you more than anything
I've learnd

I've learnd..
Help people but not upto the point beyond ur dignity.

Dont let someone become a priority in your life
when you are an option for them............

pole sana, mwache aende kama ndicho anachotaka, kisicho riziki hakiliki wangu

 
sometimes during life time it reaches a point of no return.hapo inatakiwa kuwa na maamuzi magumu ambayo yanaweza kuwa strenght zako au weaknesses zako(either side of the golden coin)
 
Pola sana mkuu. Mimi naona kikubwa ni roho yako iridhike kuwa ana nyodo na anakudharau. Haijalishi nyodo na dharau imetokana na elimu uliyomlipia mwenyewe, umalaya wake au ni asili yake. Inatosha tu kuwa ana nyodo na dharau na kwamba anakufanyia nyodo na kukudharau wew. Hiz kwangu mm ni vigezo tosha kabisa kumpiga chini. It is never too late and remember 'human life is too short to be spent in worries'.
 
Huyomkeo hana shukrani ukiachia mbali kutoona mbali. Ningekuwa wewe ningemuombaanitaliki. Je mna watoto? Kama mnao muulize huyo mkeo anawaweka kundi gani?Pili muulize in case akifukuzwa kazi au kupata kilema au zilzali loloteamejiandaa vipi? Je akiachwa na huyo bwana anayemtia kiburi atafanya nini? Piamwambie kuwa huyo anayempenda anafanya hivyo kwa vile ameolewa-anatakakumharibia. Akigeuka nungaembe ataishia kubwia midawa ya kuzuia mfadhaiko nakupunguza mawazo. Nadhani huyo mkeo simtukani ni kwamba hana shukrani na hakikakama utanuia na kumwachia Mungu atalipata la kumpata ndani ya muda mrefu. Mbonatunao wengi waliosomeshwa na waume zao na wanawaheshimu? Ningekuwa wewe walanisingejutia. Uamuzi ningempa yeye ili ajiweke kitanzi mwenyewe.
 
Huwa 'unampiga' mara ngapi kwa nwez? Inawezekana mkeo ni MOTO na wewe ni BARIDI. Kama hivyo ndivyo, basi piga ua lazima ulee mtoto wa nje. Hivyo viumbe ndivyo vilivyo. Ulitakiwa uwe na uhakika na kina kabla ya kutumbukia kwenye maji na kuanza kuyaoga.
 
Mwache mapema maana tayari amesha haribu furaha yako katika ndoa.kuna mapenzi + utu na mapenzi + vitu,huyo anataka vita hana utu.najuwa unampenda sana ndiyo maana umemsomesha na ndiyo maana unataka ushauri,wachana naye utamsahau na maisha yataendelea.mungu akutie nguvu.
 
Pole kaka. Kumsomesha sio tatizo. Tatizo ni kuwa aliolewa na wewe kwa sababu ya utegemezi wake, ili apate pa kutegemea. Umemsaidia kuondoa utegemezi, sasa anataka kuachana na wewe akajitegemee (which is not bad manake ilikuwa kwenye roadmap yake)

Chukua hatua. Fuata taratibu, muone mnapoishia. Ndoa haipashwi kuwa hivyo.
 
heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife kuhitimu masomo yake ambayo pia nilimgaramia kama njia ya kumkwamua kielimu na kwa maisha ya baadae kwani amebadilika na kufikia hatua ya kunitamkia kuwa ni kheli tuachane na kila mtu aishi maisha yake kwa kua kama kazi anayo na anaweza kujitegemea.na sababu kubwa iliyopelekea yote hayo ni baada ya kugundua kua anamahusiano ya kimapenzi na bwana mmoja na nilipomuuliza likanusha na kudai nisimfatilie na nimwache na maisha yake,

tuna mtoto 1,naombeni busara zenu

fimbombaya pole sana, mwanamke haachwi kwa ghafla atakupa headache kama una moyo mwepesi.

Lakini meshakaa vikao vya kifamilia kweli na kusuluhisha tatizo hilo maana mpaka hapo inaonekana unakufa na ai shingoni.
 
Last edited by a moderator:
ungekuwa na moyo kama wangu ningekwambia hivi mdharau kwa namna ya ajabu na ndoa kama ni ya kanisan ama mskitin usimpe talaka ila mwonyehe as huoni kama kuna mtu humo ndani yaani mfanye kuwa fenicha. ukirudi pita na 50 zako, ukienda chumban kulala lala kimya wala usimguse. usimulize jambo lolote la heri wala la shari wala usimpige. ufanyapo haya jitoe akili kabisa ona kama ni binti wa kazi tu humo ndani. kama anaakili lazima nanga itapaa.
 
pole sana....

Hiyo hutokea pale ambapo nia ya mwanamke ni kusomeshwa na nia ya mwanaume ni kuishi na huyo mwanamke maana amempenda...

Huyo mwanamke amekutumia tu hakuwa na mapenzi na weww...

Sasa hivi amejioma amefika kwa kielimu chake na kibarua....nila kumbuka mapenzi hayalazimishwi....

As long as ameamua umuache mwamnie alikuja kwako bila mtoto aondoke kwako bila mtoto, akuachie mwanao ulee, asijeenda kuharibiwa na mijanaume ya kuokoteza ya mkeo huko......

Na mke aondoke kwa amani, tena mwambie yupo huru kuondoka maana yeye ndo anataka kuachwa na si kwamba wewe ndo umemuacha, na mpe tahadhari maisha kuna kesho na keshokutwa akikwama asikutafute.....

Mwisho mshukuru Muumba wako maana unaweza kuletewa maradhi buuuureeeeee
 
Back
Top Bottom