Sina hata la kusema hapa!!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
images
 
Bwana DHAIFU akisalimiana na madaktari waliofika ikulu kwaajili ya maongezi mapema mwaka huu!
Dr Ulimboka anaonekana wa pili kushoto.
 
Mnh, madaktari walienda kumwona Dr. Photogenic na baada ya mazungumzo wakaondoka wakiamini matatizo yao yatapatiwa ufumbuzi kumbe loh! wanajikuta wakianza upya! Dr. Photogenic wala habari hana ye alishamaliza baada ya kupiga nao picha za kumbukumbu.
 
Tehe tehe tehe teheeeeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom