Sina hamu tena kuonana uso kwa uso na mwanaJF

hahahahah!!!!!!!!!
tatizo matongozo mwali mma!!...mabwana wengine kufanya kutaka kuonana lakin ajenda zao bwanawewe mmh kunyata.......
.......!!
..wanaomba mkutane bt afta kumit kitongozo iki..for real i dnt wan t
km kumit tumit tu lakin habar nyingine zile mmh mmh aapana!!
byeee
Safari moja huanzisha nyingine....hizi si ndo opochunite za maisha jamani? :A S 8:
 
hahaha Lugha gongana hapa :becky:
 
:becky::becky:
Safari moja huanzisha nyingine....hizi si ndo opochunite za maisha jamani? :A S 8:
:becky::becky::becky:
hahaha Lugha gongana hapa :becky:
:becky::becky::becky::becky:
 
Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!

Lakini sasa sitamani tena

Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja kununua vocha (siku hizi imekuwa dili masecretary kuuza vocha). Nilipokaribia mlango wa ofisi nilipokea msg, ikanilazimu nistop kidogo kuisoma. Wakati naisoma kule ndani ya ofisi nikasikia yule secretary akipiga soga na 'shogaake' na nikasikia kamwambia 'ile ishu ya juzi nimeipost kwenye jukwaa la wakubwa mda si mrefu, fungua ucheki watu wanachosema'.. Mh, mwanzoni sikupata picha lakini nilipofungua mlango kwa mbali nikaona yule secretary akiperuzi kurasa za JF, ndipo nikajua kumbe alikuwa anamaanisha jukwaa la kwenye JF!

Nilirudi ofosini kwangu na baada ya mda nikiwa naperuz kwenye Jukwaa la wakubwa nikakumbuka kisha nikacheki topic zilizotumwa ule wakati. Aisee nilishtuka maana watu wote waliokuwa wametuma topic sikuwahi kuwawazia kuwa wanaweza kuwa age ya yule mama secretary. yaani yule mama kuna wakati nilikuwa navizia mtoto wake wa tatu sijui... Nikashtuka kumbe huku inawezekana tunataniana na wakwe zetu!!

Unashanga(a)??! Mjini hapa!!
 
hahahahah!!!!!!!!!
tatizo matongozo mwali mma!!...mabwana wengine kufanya kutaka kuonana lakin ajenda zao bwanawewe mmh kunyata.......
.......!!
..wanaomba mkutane bt afta kumit kitongozo iki..for real i dnt wan t
km kumit tumit tu lakin habar nyingine zile mmh mmh aapana!!
byeee
Tehe tehe tehe!nimefanya kucheka mie jinsi ulivyoniondelea stress za kazi asubuhi hii!
nawaza jinsi utavyokankuta na atakavyo anza kukutongoza.......kufanya kunoga bana weweeee!
 
honestly hata mie nilikuwa naogopa kukutana na wana jf lkn nimeshakutana na wana jf wawili ambao ni marafiki na sijajutia ni watu wazuri na wenye kujiheshimu na kikubwa nilichofaidika ni jinsi tunavyosaidiana ktk issue mbalimbali hadi leo hii na hawajanitongoza wala nini,yaani nimejipatia makaka wa ukweli kabisa.God bless JF.
 
1.hapa pana mambo,............... waweza kukuta umdhaniae ni mzee kumbe ni mtoto kabisa
2.umdhaniae mwanamke kumbe ni dume na masharubu yake.
3.umdhaniae mlevi kumbe hajawahi onja toka kuzaliwa.
4.yule unaetaka sana kumuona kumbe ni mumeo/mkeo/mchumba wako.
5.yule unaedhani anaishi London kumbe yupo manzese kwa mfuga mbwa
CHAMSINGI
JAMBO LA MSINGI NI KUWA, HAPA UNAPATA MAWAZO YA NDANI KABISA YA MTU.

KWA KWELI UKIBAHATIKA KUMUONA MWANA JF......UTAKUWA UMEMJUA 100%

tall umeniwacha hoi na hiyo namba tano..............mitaa yote hiyo ukataja manzese kwa mfuga mbwa! hahaha
 
ah ah ah utandawazi unamambo lol!
Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!

Lakini sasa sitamani tena

Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja kununua vocha (siku hizi imekuwa dili masecretary kuuza vocha). Nilipokaribia mlango wa ofisi nilipokea msg, ikanilazimu nistop kidogo kuisoma. Wakati naisoma kule ndani ya ofisi nikasikia yule secretary akipiga soga na 'shogaake' na nikasikia kamwambia 'ile ishu ya juzi nimeipost kwenye jukwaa la wakubwa mda si mrefu, fungua ucheki watu wanachosema'.. Mh, mwanzoni sikupata picha lakini nilipofungua mlango kwa mbali nikaona yule secretary akiperuzi kurasa za JF, ndipo nikajua kumbe alikuwa anamaanisha jukwaa la kwenye JF!

Nilirudi ofosini kwangu na baada ya mda nikiwa naperuz kwenye Jukwaa la wakubwa nikakumbuka kisha nikacheki topic zilizotumwa ule wakati. Aisee nilishtuka maana watu wote waliokuwa wametuma topic sikuwahi kuwawazia kuwa wanaweza kuwa age ya yule mama secretary. yaani yule mama kuna wakati nilikuwa navizia mtoto wake wa tatu sijui... Nikashtuka kumbe huku inawezekana tunataniana na wakwe zetu!!
 
Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!

Lakini sasa sitamani tena

Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja kununua vocha (siku hizi imekuwa dili masecretary kuuza vocha). Nilipokaribia mlango wa ofisi nilipokea msg, ikanilazimu nistop kidogo kuisoma. Wakati naisoma kule ndani ya ofisi nikasikia yule secretary akipiga soga na 'shogaake' na nikasikia kamwambia 'ile ishu ya juzi nimeipost kwenye jukwaa la wakubwa mda si mrefu, fungua ucheki watu wanachosema'.. Mh, mwanzoni sikupata picha lakini nilipofungua mlango kwa mbali nikaona yule secretary akiperuzi kurasa za JF, ndipo nikajua kumbe alikuwa anamaanisha jukwaa la kwenye JF!

Nilirudi ofosini kwangu na baada ya mda nikiwa naperuz kwenye Jukwaa la wakubwa nikakumbuka kisha nikacheki topic zilizotumwa ule wakati. Aisee nilishtuka maana watu wote waliokuwa wametuma topic sikuwahi kuwawazia kuwa wanaweza kuwa age ya yule mama secretary. yaani yule mama kuna wakati nilikuwa navizia mtoto wake wa tatu sijui... Nikashtuka kumbe huku inawezekana tunataniana na wakwe zetu!!

Huo ndio uhondo wa ICTs - online social networking bila ICTs ungepata wapi uzoefu wa huyo mama!!! Uoni kama hii fursa inatufanya tuwe wote peers!!
 
Back
Top Bottom