sina hamu na tcu

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:wamenibadilishia chuo bila mimi kutaka hata furaha ya chuo sina tena:shetani::shetani::shetani::shetani::shetani:
 
kivip tena mkuu hebu fafanua!!!

fisrt selection ziilipotoka, kwa profile yangu niliandikiwa NOT ADDMITED. Nikaona nisichelewe kuapply 2nd round. Ikakubali kwa BAED Saut. Jina langu nikalikuta BeD udom. Na kwenye profile yangu wakaandika niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Kumbe ile 2nd round niloomba SAUT wakawa ndo wameiconsider instead of my admission to UDOM. Axa naingia tena juzi kwenye profile yangu nakuta ile confirmation status ya UDOM wameitoa. Nikajua haitoleta shda, bt wenzangu wakanambia kwao haijatolewa, ndipo nikawapigia TCU. Sikuamin masikio yangu baada ya kuambiwa nifungue kwenye 2nd round application na nitakuta huko kama nimechaguliwa. Nilishangaa kwan hata jina langu lipo kwenye list ya Udom, axa nitachaguliwa vipi mara mbili? Nilipofungua nikakuta kweli nimeandikiwa Admitted kwa BAED SAUT Mwanza. Sikipendi chuo hiki, nataman nirudishwe UDOM, ushauri kwa anayefaham jambo hili, coz tcu hawapokei tena sim yangu na niko mikoani
 
no problem mkuu shukuru mungu umechaguliwa.kunawengine kitaa wanaililia hiyo nafasi wameikosa.lamsingi omba mungu upate mkopo basi!!
 
fisrt selection ziilipotoka, kwa profile yangu niliandikiwa NOT ADDMITED. Nikaona nisichelewe kuapply 2nd round. Ikakubali kwa BAED Saut. Jina langu nikalikuta BeD udom. Na kwenye profile yangu wakaandika niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Kumbe ile 2nd round niloomba SAUT wakawa ndo wameiconsider instead of my admission to UDOM. Axa naingia tena juzi kwenye profile yangu nakuta ile confirmation status ya UDOM wameitoa. Nikajua haitoleta shda, bt wenzangu wakanambia kwao haijatolewa, ndipo nikawapigia TCU. Sikuamin masikio yangu baada ya kuambiwa nifungue kwenye 2nd round application na nitakuta huko kama nimechaguliwa. Nilishangaa kwan hata jina langu lipo kwenye list ya Udom, axa nitachaguliwa vipi mara mbili? Nilipofungua nikakuta kweli nimeandikiwa Admitted kwa BAED SAUT Mwanza. Sikipendi chuo hiki, nataman nirudishwe UDOM, ushauri kwa anayefaham jambo hili, coz tcu hawapokei tena sim yangu na niko mikoani

kasome tu bwanakaka coz hata wengine tumekuja kusoma coz ambazo hatukuwai kuziota kutokana na ukata
 
pole kaka.jamani kama kuna mtu mwenye namba ya tcu inayo pokelewa anisaidie.namba yangu ni 0765838849
 
mh bora yako best mi first round walisema wameruka jina langu so nifanye second round nimefanya nikawa addmitted arch bishop mihayo tabora majina ya second yametoka eti sipo kweli hi ni haki bora yake hata yeye amepata mi ndo sielewi hiz sound mh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom