Sina hamu na Panya, King'asti ameniacha!!!

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Inachekesha, ni ngumu kuamini na inanihuzunisha kwa kisa kilichonikumba. Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa wote tangu mwaka 2007 tumekuwa tukiishi vizuri tu tena kwa uaminifu mkubwa sana. Shughuli zake na mimi ni tofauti na yeye huwa anasafiri sana sasa kutokana na hali hiyo mimi nimekuwa na tabia ya kupiga "puchu" a.k.a masturbation nikimmiss ambayo huwa naipiga kwa style ya kuvaa condom na kuanza kujisugua mpaka napiga bao na mara tu nimalizapo huchukua condom na kuzitupa chooni naflush then mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Lakini safari hii sijui ni nini kikanituma kutupa ile condom kwenye dust bin ya ndani tena bila kufunika! kilichotokea baada ya hapo acheni tu... sikujua kuwa ndani kuna panya basi usiku ule panya wakajichanganya kwenye dust bin kama kawaida yao katika kutafuta msosi si wakakutana na ile condom tena nikiwa nimeifunga vizuuri ndani imejaa manii wakaivuta mpaka sebuleni chini ya sofa! nashindwa kuelewa mpaka sasa kilichotokea kwani kesho yake nikiwa nakaribia kutoka job mpenzi akanisuprise na simu honey ukija utanikuta kwako! Dah nikasema mambo si ndo hayo na ukizingatia hatujaonana wiki nzima. Sasa ile mzee nafika kwangu nagonga mara mlango ukafunguliwa na nilichokiona jamani nikikumbuka kinaniumiza sana roho kwani mpenzi wangu alikuwa kaishika ile condom akanionesha na kuniambia nashukuru kwa yote nakutakia maisha mema na umalaya wako! Mpaka sasa siamini jamani...nimejaribu kumwelewesha kuwa ni panya lakini hataki kunielewa..jamani nimechanganyikiwa na sina tena hamu!
 
unapiga puchu na condom? inakupa raha? kwahiyo hata mikono yako hauiamini? au na sisi pia unatudanganya, ningekuwa mimi nisingekuelewa pia.
 
Umenikumbusha mbali how i lost my ex coz of condom, alizikuta kwenye droo b4 we were in a peace an lovin rlshp,alisamehe ila hakusahau trust yote ikaisha kwangu uhusiano wa miaka mitano ukafa!wen i remmber tht i feel so bad.sijui aina ya mpenzi wako ila inawaudhi sana if u fail to handle th situation gentle anaweza kusepa! I have a new woman i notice dnt play wth them its easier 4 thm to forget u if hart their feelings,AS U YOU KNOW LOVE IS A FRIENDSHIP SET ON FIRE.
 
kaka umetunga stori nzuri tena yenye ukali wa maneno! Pole kwa kuumiza kichwa kutunga!
 
duh..........................aiseeeeee.............................
 
si bora wewe ulipiga puchu,mwenzio mambo ya laga baada ya kupombeka kapata mzigo huko nje akaenda kuufanyia gesti,alipokurupuka usiku wa manane gesti kapigilia jinsi kaanza awahi home,kumbe kasahau ndomu alikua bado kavaa na ina uji,kufika home kaingia ndani mkewe anamsubiri anamwangalia kwahasira ajitetee jaama akajifanya kalewa atatoa ufafanuzi akiamka,basi ile kateremsha jinzi,boxer watu weweee ndomu hilo kwenye ombo lina uji ujazo wa kikombe live.pata picha hizo ngumi na kushushiwa mvua ya vikombe,mitusi,visu,kabali . . . . . .:dance:
 
Wapi Shigongo apate story. Kwanza ulivo muongo unatupa kwenye cho kuflash? Sina hakika sana na hilo wewe ni umetunga hii story
 
Sijari kama imetungwa au ime copy na kupaste !!! loh ni mecheka hadi watu wananishangaa!!! kumbe watu bado wanauhusiano wa siri na mikono yao?!! dah this is not cheating anyway tell her kwamba huja cheat ila ulikuwa unakura raha na mkono wako!!
 
Inachekesha, ni ngumu kuamini na inanihuzunisha kwa kisa kilichonikumba. Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa wote tangu mwaka 2007 tumekuwa tukiishi vizuri tu tena kwa uaminifu mkubwa sana. Shughuli zake na mimi ni tofauti na yeye huwa anasafiri sana sasa kutokana na hali hiyo mimi nimekuwa na tabia ya kupiga "puchu" a.k.a masturbation nikimmiss ambayo huwa naipiga kwa style ya kuvaa condom na kuanza kujisugua mpaka napiga bao na mara tu nimalizapo huchukua condom na kuzitupa chooni naflush then mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Lakini safari hii sijui ni nini kikanituma kutupa ile condom kwenye dust bin ya ndani tena bila kufunika! kilichotokea baada ya hapo acheni tu... sikujua kuwa ndani kuna panya basi usiku ule panya wakajichanganya kwenye dust bin kama kawaida yao katika kutafuta msosi si wakakutana na ile condom tena nikiwa nimeifunga vizuuri ndani imejaa manii wakaivuta mpaka sebuleni chini ya sofa! nashindwa kuelewa mpaka sasa kilichotokea kwani kesho yake nikiwa nakaribia kutoka job mpenzi akanisuprise na simu honey ukija utanikuta kwako! Dah nikasema mambo si ndo hayo na ukizingatia hatujaonana wiki nzima. Sasa ile mzee nafika kwangu nagonga mara mlango ukafunguliwa na nilichokiona jamani nikikumbuka kinaniumiza sana roho kwani mpenzi wangu alikuwa kaishika ile condom akanionesha na kuniambia nashukuru kwa yote nakutakia maisha mema na umalaya wako! Mpaka sasa siamini jamani...nimejaribu kumwelewesha kuwa ni panya lakini hataki kunielewa..jamani nimechanganyikiwa na sina tena hamu!
pole sana. mwambie aje uumpe demo ya ulichofanya na hiyo ndom. anaweza kukuamini na kurudi kwako afterall ulijilinda ktk hilo zoezi
 
Hainiingii akilini kwamba unapiga masterbation na kondomu? Kwanza hiyo stori ina utata, kama ni ya kweli hiyo manii iliyokuwa kwenye kondomu inaonyesha uli-do sex na mwanamke mwingine na sio punyeto kama ulivyodai. Huyo rafikiyo ninaamini alifanya uamuzi wa busara kusepa na kukuachia panya wako. Bye for now.
 
Pole!Lakini inaonekana mpenzi wako alikuwa hakuamini,love its all about trust!Kama umejitahidi kumwambia hakuelewi,achana nae!Lakini nenda kajifunze maana ya kupenda!
 
Kaka pole sana.

Lakini swala la uwazi linakuja pale pale! kwa nini hukumwambia mpenzi wako kwamba wakati akiwa hayupo huwa unafanya punye?

Pili, pole zaidi kujua kuwa nyumbani kwako kuna panya!! Tehe tehe tehe
 
pole sana mzee....ila kwa ushauri dustbin uwe unazifinika na jaribu kuua panya huko ndani kuepuka magonjwa ni faida kwa afya yako pia.na kuhusu mpenzi wako we m solve tu kwa kumpa live coz safari zake ndo sabab ya wewe kupiga puchu ni vigumu sana kukuamini ila inategemea anakufam kiasi gan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom