serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,306
- 4,681
kijana huyu anaitwa KATABAZI, kaimba songi lake ila ugumu uko katika distribution na kupata airtime.. hana meneja, so anaomba msaada wa wadau, either advice, au technical support.. kama unaweza kumsaidia kupata meneja, atashukuru sana. kazi zimekua ngumu sana kupata na maisha yanazidi kua tyt.
nawasilisha.
gonga hapa... Listen to Sina Dolah-Katabaz on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
nawasilisha.
gonga hapa... Listen to Sina Dolah-Katabaz on Hulkshare - Free Music Streaming & Download