Sina chuki na precission air,

Jamani, wengi wameshawahi kuleta lalamiko yao hapa kuhusu Precision.... siku hizi tabia zao ndo hizo... yaani imekuwa kawaida, wanauza nafasi yako mbele ya macho yako.... halafu wezi... unacheck in mzigo, ukifika kwenye destination unakuta begi limefunguliwa....
 
siichukulii personal hata kidogo, tazama ninapotofautiana na wewe ni hapa: kwamba kama niki- confirm mhusika huangalia kwenye system kama kweli kuna nafasi, na ndivyo alivyofanya, mpaka hapa kanuni ya FIFO iko sawa kwani anauhakika amenigawia kiti(saeat), kisha akashauri nipande shutle. One hr later naambiwa ndege imejaa. Hapa kunakosa gani kwa abiria?, kama abiria angekuwa alinunua tkt siku nyingi harafu akaenda kuomba kusafiri two hrs b4 harafu akaambiwa hakuna nafasi na akaja kualalamika hapa janvini ingekuwa sahihi kumueleza theories za FIFO-issue tunayozungumzia hapa ni kuwa abiria amehakikishiwa kusafiri na kampuni husika kisha anaambiwa ndege imejaa akiwa ndani ya uwanja.

....mzee hujasoma post yangu yote pia naona humsomi vizuri Pdidy! Kuna point ya pili ambayo na mimi nasema makosa yule mhudumu wa Moshi anayo mbona unaignore? yule ndo amekuingiza mkenge.....hakuwa makini, kabla ya kukuruhusu uondoke upo?
 
mkuu si mmesema tusi-personalize?, sijatilia maanani kuhusika kwa mfanyakazi wa moshi katika hili(angefanyahivi kwa interest gani?) kwani kabla ya kuprint ticket aliangalia kwenye system akaona inafaa kuni-place kwenye travelers list otherwise system ingekataa: personally i hold responsible the whole co, kwa kulea uzembe na tabia mbaya ya staff wake. Imewahi kuona malalamiko kama haya juu ya precission air lakini sikujua kuwa kwangu ingetokea ya aina hii. Btw, nimesharudishiwa nauli niliyolipa na kuchapa lapa.
 
Pole sana mkuu Huo ndio ukubwa ila nikupe siri ya kilichofanyika kama kweli ulikuwa na OK!!
PRECISSION wakiwa na wazungu hii ni amri kutoka manag wazungu wanaoconnect waende kwanza sasa yawezekana wakati wanakupa ok mzungu akaja nyuma yako ni vigumu sana kujua,ama kuna watu wanajuana na watu wa airport ukiwa na ndugu yakoo hata siku moja abaki hata hiyo ok aiitajiki ,wanachofanya wanamwaga dowans watu wanapewa boarding pass kabla wenye ok zenu amjaja anyway polesana,,

FLY 540
Kwa huduma za mwanza KIA na ARUSHA..
 
mkuu si mmesema tusi-personalize?, sijatilia maanani kuhusika kwa mfanyakazi wa moshi katika hili(angefanyahivi kwa interest gani?) kwani kabla ya kuprint ticket aliangalia kwenye system akaona inafaa kuni-place kwenye travelers list otherwise system ingekataa: personally i hold responsible the whole co, kwa kulea uzembe na tabia mbaya ya staff wake. Imewahi kuona malalamiko kama haya juu ya precission air lakini sikujua kuwa kwangu ingetokea ya aina hii. Btw, nimesharudishiwa nauli niliyolipa na kuchapa lapa.

....kuna uwezekano mkubwa yule mfanyakazi ni mzembe, kilaza ref. point ya PDIDY!

..wamefanya vema kukurudishia mkwanja......! jaza wese piga mashine Dar saa nne kama bado hujaondoka!
 
kama umechelewa kuna saa saba AKAMBA ,safii unajifikia saa nne usiku
 
Hii watakuwa wameiga kutoka kwa mabasi ya Dar to Mwanza..."Tatizo letu tunaiga mambo ya kijinga mazuri tunayaacha" JK Nyerere
 
....kuna uwezekano mkubwa yule mfanyakazi ni mzembe, kilaza ref. point ya PDIDY!

..wamefanya vema kukurudishia mkwanja......! jaza wese piga mashine Dar saa nne kama bado hujaondoka!

nakaribia wami, ciao
 
Back
Top Bottom