Simwelewi mpenzi wangu

Kuna jamaa ambaye yeye na rafiki yake wa kike hawakuwa wakifichana simu, jamaa anaweza kuondoka na simu ya demu na demu akaondoka na simu ya jamaa.

Mara jamaa akampiga marufuku kusoma message, kafuatiwa na kupokea simu, ikafuatiwa na marufuku ya kuigusa then kutoitumia hata kama demu ana shida. Demu akashtuka, na kwa vile alikuwa smart enough upstairs, alikuja kubamba kijinga sana kwamba jamaa ana demu mwingine. So be careful na mtu anayekuzuia hata kugusa simu yake.

Kali zaidi nishashuhudia simu za wanandoa zina password! Kila mtu haijui ya mwenzake!
 
simu na mapenzi???? hahaaa siku izi simu ni sumu ya mapenzi,
huu n kula huu bana na hasara juu, mwambie kua hupendi tabia hio akigoma peruz moo utakuta kuna mdau pembeni. anajiondoa kwenye uwepa wake ili asisikie
hOOOney i miss you, niko jikoni napikaaa, nimevaa ile sketi ulonletea juziii,
na vijimambo ambavo vitamkwida roho.
 
Back
Top Bottom