Simwelewi mpenzi wangu

hasheem

Member
Dec 12, 2009
7
0
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?
ni changamoto
sio ishu kubwa sana si simu yake bana au unataka usikie akimpiga jamaa busu roho ikutoke papo hapo?
 
Jaribu kukaa nae umweleze ishu za namna hiyo huzipendi kama hakuna mabadiliko jua hilo ni changa la macho mkuu.
 
Kamanda mko wengi hapo hiyo ni dalili tosha kabisa kuna mtu anayemiliki hiyo mali. Wanawake nao km wanaume hapo na yeye yupo sokoni anatafuta au anategea yupi atafika bei mapema, be careful bro
 
Inshu iko wazi hapo kuna utata, anaogopa usije gundua maovu anayofanya au kuendelea kufanya, huenda zile kauli zetu kwamba "one leg is at the ground and other at the heaven", kwa ufupi mkubwa amewapanga sana.
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?
Uhusiano wenu bado hauna mashiko, nadhani sio suala la kung'ang'ania simu yake suala hapo ni kumhakikishia aina ya uhusianao unaoukusudia kwake na kwamba una nia nzuri naye, ikibidi mwambie kwamba una mpango wa kumuoa (kama unafikiria kufanya hivyo kikweli) kwa kufanya hivi itakuwa rahisi kwa yeye kuwaambia hao wezi wengine kwamba "jamani sasa nina mchumba".

Vinginevyo itakuwa vigumu kumdhibiti kwa sababu kikweli bado network search na hii ni kawaida kabisa. Utakapo mhuhakikishia hili na bado akaendela na chake ni chake basi hana nia nzuri na mahusiano yenu, ila atakuwa na malengo anayotaraji kufanikisha kupitia kwako then atambae.

Ni wakati huu sasa nawe watakiwa kuamua, katika maisha ya mapenzi muda ni kitu cha thamani sana hivyo kama hatatoa ushirikiano katika hali hiyo baada ya maelezo yako ya nia hiyo kwake uamuzi wa kijasiri unahitajika, vinginevyo ni sawa na kufuga nyoka.
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?

Kuna jamaa ambaye yeye na rafiki yake wa kike hawakuwa wakifichana simu, jamaa anaweza kuondoka na simu ya demu na demu akaondoka na simu ya jamaa.

Mara jamaa akampiga marufuku kusoma message, kafuatiwa na kupokea simu, ikafuatiwa na marufuku ya kuigusa then kutoitumia hata kama demu ana shida. Demu akashtuka, na kwa vile alikuwa smart enough upstairs, alikuja kubamba kijinga sana kwamba jamaa ana demu mwingine. So be careful na mtu anayekuzuia hata kugusa simu yake.
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?

You are being played and you are not the PLAYER...
 
dah hapo hasheem kuna walakin huyo mpenzi wako atakuwa ana mtu mwingine ila anashindwa kukuacha kwa sababu anajua unampenda sana kwa ana-take advantage ya hiyo situation kunufaika nawe kwa namna flani flani moyo wake upo kwa mtu mwingine...kuwa mwangalifu utakuja kuumia sana maishani mwako
 
ulimpenda yy au simu?simu ulinunua ww?so tatizo ni sm tu au kuna dalili nyingine umeziona?
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?

Hapo Killer Cam anakwambia "You already know..."
 
ulimpenda yy au simu?simu ulinunua ww?so tatizo ni sm tu au kuna dalili nyingine umeziona?

Pearl,
Hayo ndio maswali gani ambayo umemswalika mwenzio? Huyo binti hawezi kupokea simu mbele ya mwenzie na kumjibu aliyempigia kuwa call me later?uko na mpezio kila saa umeshika simu either unachat au wapigiwa pigiwa simu kila dakika na dhani haipendezi hivyo ni kumfanya mwenzio kuwa doubt kwako.

Sasa swala la kununua simu hapa lina huuu jamani??

Tatizo ni hayo ma swaga ya huyo hatulii mpaka mwenzie anaanza ku doubt, mko pamoja ya nini kuleta swaga, si muweke mawazo yenu mahali mlipo na mambo yenu.

Back
Top Bottom