Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Ingia kwenye search engine ya google then andika ETS2 mods halafu utafungua website ambazo zitatokea na kudownload mod unayotaka. Ukishaipata utakopy na kupaste kwenye mydocuments>eurotrucksimulator2> mods. then fungua ETS2 nenda kwenye mod manager fungua activate mod uliyoweka then confirm. mod yako itakuwa inafanya kazi.
Mi nina euro truck v 1.23.1.1 kila nikifanya ivyo mod inagoma cjui nakosea wap?
 
Mi nina euro truck v 1.23.1.1 kila nikifanya ivyo mod inagoma cjui nakosea wap?

Cheki kama hiyo mod inaendana na version ya gemu. mtengenezajia atakuwa amesema inaendana na version ipi.
 
Hehe hiyo hack nimeipenda, especially part ya kutumia mouse kama right and left motion.
Inapunguza sana latency game linakua smooth. Hata wanaotengeneza hizi wheels kama industry standard hawatumii hiyo technique, wao wanajaribu kulazimisha direction kua kama ume-press button ambayo ni inaccurate, hiyo technique yako ni very smart.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom