Simuelewi

Unasema haongei mbona alikutongoza na ukaelewa somo ? unampenda naye anakupenda sasa maneno mengi ya nini ? wanaoongea sana wengi ni waongo.

Uko laiti guy. Kwani ''Ulimpendea nini''?.chetuntu mbona hivyo bana.
 
Kwenye kuchakachua je? Kama nako haongei basi take it as kilema chake, kila mtu anachakwake so mvumilie huwezi jua nae anaona una matatizo kwa jinsi unavyochonga.
 
mmmh mi sijui sikuelewi ww au sijielewi mm!kweli if wishez were horses,I would ride ndugu unataka awe vuvuzela?mi ningempata huyo lol mimgefurahi sana,mwanamme hatakiwi kuchonga sanaaaaaa,anatakiwa awe mtu wa vitendo zaidi yani awe kama mathematics the silent killer!as long as anaongea mambo ya maana,and ana marafiki ambao wako kikazi zaidi wat more do u nid swty hut?:smile-big:As long as he treats u right,put u first,love,trust u!I think they are more than words.
 
kama aliweza kukutongoza na akakupata bila msaada wa mtu, basi anajua kuongea. vinginevyo utuambie kuwa ulijirahisi kwake unfairly. binadamu ukipata muongeaji utakuwa na wasiwasi kuwa huenda anatongoza wengine, umepata mkimya unawasiwasi kuwa huenda ha-appreciate unayomfanyia, ukipata mwembaba...... mnene,..., mfupi,... mrefu nk kote utakuwa nalo la kusema. ili mradi tu binadamu haturidhiki. tunahitaji kuheshimu wenzetu na kuwapenda na kuridhika nao jinsi walivyo. kukutana na mtu hata mkaingia kwenye mahusiano si kitu kidogo, ni achievement ya maisha so tuheshimu na ku-appreciate. ushauri wangu, heshimu kipawa chake cha ukimya na jitajihidi kumzoea. muombee kwa Mungu na ombea mahusiano yenu hadi mfikie kwenye ndoto ya kuishi pamoja katika mahusiano yenye kibali ch Mungu.
 
Kuna watu wameumbwa hivyo, mimi nina baba angu mdogo aisee unaweza fikri kuwa hampendi yeyote humo ndani. Hiyo salamu tu ukitoa yy anaitikia kama anaguna vile, ukiuliza swali yy ni ndio au hapana ukimtega na swali lenye kuhitaji maelezo akijitahd atatoa maneno yasiyozid 5. Kuna wakati nilifiri nae kwa private car toka moro hd dar tulionge mara 3 yaani pale msamvu, chalinze na kibaha! Aliwahi kwnd ujerumani 2 yrs alitunukiwa cert. ya Silence person na cheti kilitoa kimoja tu. Sijui niseme kwa bahati mby au nzr amepata mke anaeongea kama katiwa betri! Ukifka hpo hm ni fully kelele za mama! Nataka kukwambia tu dada yangu kuwa wapo waliiumbwa hvyo, cha msingi ni kumwelewa hy man na zaidi kutambua kuwa pamoja na uvivu wake wa kuongea lkn stil ni mume kwa hadhi. Mshukuru mungu maana yawezekana ungepata mwanaume mwny sifa ambyo pengne kuianika hp ingekuwa ni ngetwa!
 
Mshukuru mungu sana kwa kukupa kijana huyo! inaonekana angekua mwongeaji kama wewe mambo yangeshaharibika! Love him as he is! anaweza kuongea akawa anakubore kila wakati, ni bora abaki allivyo'' Ni bora nusu shari kuliko shari kamili"'
 
kama aliweza kukutongoza na akakupata bila msaada wa mtu, basi anajua kuongea. vinginevyo utuambie kuwa ulijirahisi kwake unfairly. binadamu ukipata muongeaji utakuwa na wasiwasi kuwa huenda anatongoza wengine, umepata mkimya unawasiwasi kuwa huenda ha-appreciate unayomfanyia, ukipata mwembaba...... mnene,..., mfupi,... mrefu nk kote utakuwa nalo la kusema. ili mradi tu binadamu haturidhiki. tunahitaji kuheshimu wenzetu na kuwapenda na kuridhika nao jinsi walivyo. kukutana na mtu hata mkaingia kwenye mahusiano si kitu kidogo, ni achievement ya maisha so tuheshimu na ku-appreciate. ushauri wangu, heshimu kipawa chake cha ukimya na jitajihidi kumzoea. muombee kwa Mungu na ombea mahusiano yenu hadi mfikie kwenye ndoto ya kuishi pamoja katika mahusiano yenye kibali ch Mungu.

hadi naliweka jamvini ni hali sio ya kawaida.
 
Kuna watu wameumbwa hivyo, mimi nina baba angu mdogo aisee unaweza fikri kuwa hampendi yeyote humo ndani. Hiyo salamu tu ukitoa yy anaitikia kama anaguna vile, ukiuliza swali yy ni ndio au hapana ukimtega na swali lenye kuhitaji maelezo akijitahd atatoa maneno yasiyozid 5. Kuna wakati nilifiri nae kwa private car toka moro hd dar tulionge mara 3 yaani pale msamvu, chalinze na kibaha! Aliwahi kwnd ujerumani 2 yrs alitunukiwa cert. ya Silence person na cheti kilitoa kimoja tu. Sijui niseme kwa bahati mby au nzr amepata mke anaeongea kama katiwa betri! Ukifka hpo hm ni fully kelele za mama! Nataka kukwambia tu dada yangu kuwa wapo waliiumbwa hvyo, cha msingi ni kumwelewa hy man na zaidi kutambua kuwa pamoja na uvivu wake wa kuongea lkn stil ni mume kwa hadhi. Mshukuru mungu maana yawezekana ungepata mwanaume mwny sifa ambyo pengne kuianika hp ingekuwa ni ngetwa!
Baba ubaya bb yako mdogo yupo kama bf wangu nae ni hvyo hvyo . Asante kwa ushauri.
 
kama aliweza kukutongoza na akakupata bila msaada wa mtu, basi anajua kuongea. vinginevyo utuambie kuwa ulijirahisi kwake unfairly. binadamu ukipata muongeaji utakuwa na wasiwasi kuwa huenda anatongoza wengine, umepata mkimya unawasiwasi kuwa huenda ha-appreciate unayomfanyia, ukipata mwembaba...... mnene,..., mfupi,... mrefu nk kote utakuwa nalo la kusema. ili mradi tu binadamu haturidhiki. tunahitaji kuheshimu wenzetu na kuwapenda na kuridhika nao jinsi walivyo. kukutana na mtu hata mkaingia kwenye mahusiano si kitu kidogo, ni achievement ya maisha so tuheshimu na ku-appreciate. ushauri wangu, heshimu kipawa chake cha ukimya na jitajihidi kumzoea. muombee kwa Mungu na ombea mahusiano yenu hadi mfikie kwenye ndoto ya kuishi pamoja katika mahusiano yenye kibali ch Mungu.

hadi naliweka jamvini ni hali sio ya kawaida.
 
Mlete kwangu nimfundishe kuongea...Niachie niwe naye week end hii tu akirudi atakuwa muongeaji mzuri.Atakuambia asante darling,usiku mwema honey..Mamii Miss You,unarudi saa ngapi n,k.Fanya hivyo.
 
Dah! Simaanish maneno ya hvyo ni kama alivyocomment baba ubaya
 
Back
Top Bottom