Simuelewi

Inategemea na wewe mwenyewe kama humsemeshi unataka aanze kuimba mashairi ya kina Fid Q? anzisha somo uone atakavyojibu!!!!

hata ukianzisha somo majibu ni ya mkato mno, story akichek movie tu, hata kusema ucku mwema kwake ni mtihani.
 
Taratibu Chetuntu,mwanaume kuongea sana si sifa nzuri....Nenda nae taratibu,akikuzoea atakuwa comfortable kuzungumza zaidi na kufanya mambo mengi na wewe.Hata kama asipobadilika,hicho si kilema,unaweza jifunza kuishi nae vile alivyo.Best Wishes!
kweli umenena michelle
Chetuntu ufanyie kazi ushauri nasaha huu
 
shosti acha tu , sina hata raha. Na yeye hivyo hivyo akimaliza tu busy na compture.
kwa huo muda mfupi wa kumake love utumie vizuri, jiachie kwake ucjibane, usifanye sex gizani maana watu hao hawachelewi kusema zima taa, msifie wakati wa kudo, chomekea na jokes labda atakuzoea.
 
kwa huo muda mfupi wa kumake love utumie vizuri, jiachie kwake ucjibane, usifanye sex gizani maana watu hao hawachelewi kusema zima taa, msifie wakati wa kudo, chomekea na jokes labda atakuzoea.

asante Lady N.
 
thanx kwa ushauri, jaman hata story tu za kawaida tukitoka kazini ni kimya hadi umwambie kuoga au kula . Ukimpigia sim anauliza kuna nini? Mmh jaman.

KWANI MY DEAR UNAISHI NAE???INAKUWAJE UMWAMBIE HAYO YA KUOGA NA KULA????
hiyo ya ukimpigia simu anakuuliza kuna nini inaweza kuwa ishara ya jambo lingine???SIO NAMNA YA KUMUULIZA MPENZI WAKO ANAPOPIGA SIMU?????

MPE POZI KIDOGO,TUONE MY DEAR,ISIJE IKAWA HAKU-FEEL KIVILE????LET HIM CHASE YOU KIDOGO,WE WILL SEE!
 
shosti acha ku generalize bwana, labda wake yupo tofauti,hebu atuambie.

muulize vizuri atakwambia,anacheka kweli ujuwe tayari,ngoja amalize ndo kwanza anaangalia siasa za kwao zinasemaje waati kila siku machafuko
 
Mara nyingi watu wakimya ni wabaya hao. Jitahidi dada umjue vizuri maana usije juta baadae...... Best Wishes!!!
 
KWANI MY DEAR UNAISHI NAE???INAKUWAJE UMWAMBIE HAYO YA KUOGA NA KULA????
hiyo ya ukimpigia simu anakuuliza kuna nini inaweza kuwa ishara ya jambo lingine???SIO NAMNA YA KUMUULIZA MPENZI WAKO ANAPOPIGA SIMU?????

MPE POZI KIDOGO,TUONE MY DEAR,ISIJE IKAWA HAKU-FEEL KIVILE????LET HIM CHASE YOU KIDOGO,WE WILL SEE!
dear nilitia pozi kidogo hapakutosha hadi nilimuonea huruma , baadhi ya maskul mate zako wanadai ndio alivyo.
 
huo ni athari za mfadhaiko ambao aliupata zamani, huleta kutokujiamini, na wakati mwingine hofu.
Msaidie kimawazo na kumchangamsha.
 
Anakuombaje unyumba?
habari wana jamvi la malavidavi. Naombeni mchango wenu katika hili ,niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ila haongei ni mkimya sana hajui hata kusema asante. Hata sim zake ni za kikazi tu.marafiki anao akipiga story ni kazi au bizness. Hata kunitöngoza aliongea kidogo tu. Hata marafiki hawamuelewi. Nifanyeje ananipenda sana na me pia nampenda. Naomba mwongozo tafadhali.
 
Ukitaka aongee toka na jamaa mwingine kisha jifanye ni rafiki yako wa zamani nadhani utajua anaongea au la!
hapa ndugu umeongea point, tena ataongea na kubwatuka kabisa au anaweza asiongee tena (akamwaga kimya kimya)
 
thanx kwa ushauri, jaman hata story tu za kawaida tukitoka kazini ni kimya hadi umwambie kuoga au kula . Ukimpigia sim anauliza kuna nini? Mmh jaman.

Etiiii??? Kuoga mpaka umwambie??? Una maana gani??

Kwani anaona ajabu wewe kumpigia simu???

Au huwa humpigii ndo maana ukimpigia anashitukaaa???
 
Back
Top Bottom