Simuelewi upendo huu

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Hello,

Huyu msichana ni wiki kadhaa tumekuwa tukiwasiliana alishapewa habari zangu, jinsi nilivyo, na mambo mengine.

Ingawa mimi cjamuona

Cha ajabu amenipenda, ananipigia simu kama hana akili nzuri, sms za mapenzi na pole na kazi, kila la kheri sana, na anasema anataka tuoane baadaye kama Mungu akipanda

Naomba msaada wenu........
 
nenda kwa step-ilishawai kunitokea kitu kama hiyo then nikaja kuta msichana mwenyewe ni malaya wa kutupwa
 
Mmh..dunia imeisha.huna mtu wa kukupa pole,msg za mapenzi,na kila lagher,mpaka uchanganywe na upendo wa huyo dada?.Chunguza kapewa stor zipi kuhusu wewe,mpaka anachangamka namna hiyo.Usijeona unapendwa sana,labda kasikia una kaz nzuri,nyumba, gari
 
Jitahidi muonane,mpeane muda wa kufahamiana ndio ufanye maamuzi,
Upendo wa hivyo huwa inatokea na watu wakaoana kweli,
Nina mfano wa ndoa ya mkaka niliyesoma naye alidate na mdada kwa mwaka mzima online siku wamekutana wakaamua kuoana,
Na baada ya mwezi tukala ubwabwa na ndoa yao ina miaka3 sasa wana mtoto na maisha yao ni burudani tupu!
 
Hello,

Huyu msichana ni wiki kadhaa tumekuwa tukiwasiliana alishapewa habari zangu, jinsi nilivyo, na mambo mengine.

Ingawa mimi cjamuona

Cha ajabu amenipenda, ananipigia simu kama hana akili nzuri, sms za mapenzi na pole na kazi, kila la kheri sana, na anasema anataka tuoane baadaye kama Mungu akipanda

Naomba msaada wenu........
Una umri gani wewe?
 
chunga sana mapenzi/mahusiano ya kuanzia kwenye mitandao/sms !!!!!!
Just a word.
 
Fanya mpango wa kuonana nae..kisha uzungumze nae. Kama utapendezewa kuwa nae then fanya kweli,ila kama hutapendezewa bora umchane live ili asibakiwe na ma-hope teleee kichwani itakuwa sio ishu!!
 
Mhhhh,

Ngoja nijikumbushe enzi za Mwalimu tulikuwa tunafanyaje??


Halafu hapa jamaa naye kachanganyikiwa wakati hata avatar ya mrembo hajaiona.......Naona kama mwendo wa PM za JF!!
 
Angalia lisije likawa chogi la kufa mtu mazee utakimbiaje??? soma mchezo kwanza ujue vipi usije beba kimeo...
 
ndugu usiingie kichwa kichwa...tafuta muda umuone,kama analipa chukua mzigo kwa temporary basis kama anafaa upgrade to ndoa
 
mm nakushauri kwana muonane ,mfahamiane na msomane tabia,ukisharithika nae ndo uendelee na mambo mengine tena ikiwezekana mkapime afya zenu kabisa.asante:tongue:
 
..jamani inakuwaje hivi?..eti USHAURIWE? kapewa CV yako then nawe tafuta yake,ukiona imekuchanganya ndo ilete tukushauri tena pale tu utapohisi moyo wako UMETAMANI kuwa na huyo dada,
ANGALIZO: JIANDAE KUPATA...(najisikia huruma kutamka haya maneno,ngoja nibaki nayo mpaka yakukute kwanza,manake mambo ya FB ni huzuni na aibu tupu)
 
loose ball hiyo, kuwa mwangalifu sana, unaweza kutumbukia pabaya. Msichana anayefaa hasa kuoa, huwa hajileti kichwa kichwa kihivyo. Changanya na za kwako.
 
Una umri gani wewe?

Amepata habari zako kwa mtu tu ,then anaanza kukushobokea kwa ghafla na mpaka kufikia kupresent suala la kuoana baadaye, ndani ya muda mfupi tu?
take care kaka angu. MWANAMKE ANAYEJIHESHIMU/MSTAARABU na anayemaanisha, hawezi kukurupuka namna hiyo, from no where. jaribu kuuliza habari zake kuanzia kazini kwake na mtaani kwake anapoishi,u correlate na speed yake anayokuja nayo kwako
USHAURI WANGU NI HUO 2,UKISHAPATA DETAILS ZAKE LA KUFANYA/DECISION UTAJUA MWENYEWE
 
Kama umempenda chukua point tatu hapo....mana ukizubaa Barca watakuonyesha mchezo unavyo chezwa.

Usione bahati imekufata wengine wanaitafuta, ukairingia shauri yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom