Simuelewi my X anataka nini!!!!!

Bongo pameshachoka kaka.
Kama kweli unamaanisha ulichokiandika tulia, endelea kufanya utafiti na ukigundua mkanye tu huyo bwana mdogo vinginevyo utaharibu kila kitu hasa future ya huyo bwana mdogo wako.
Kama dogo atakuwa mbishi, mwambie aendelee na mapenzi yake na huyo X wako tu maana wewe nadhani hujadungua na kama umeshadungua, basi no way.
 
Da hili lipo nje ya uwezo wangu.Ngoja nikamuulize dada niki date na x boyfriend wake yeye atajisikiaje then nitakuja kukupa jibu.
 
kaka kweli unamengi haya ni machache tu.ila binafsi nimeelew hili,

1.x unamapendo naye
2.huna imani na mdogo wako unahisi,anaweza akaja mnyosha x au x akajatumia mgongo wa mdogo wako kukuharibia and obviously itakuuma kama atamnyosha.
3.wanaume wenyeroho ya kushare mapenzi na kaka/mdogo au rafiki na asimaindi niwachache/isimuume niwacahche bila kujali wameachana au la!
NOTE.ushauri wa bure,hakuna haja yakumfuatilia mdogo wako nakumuwekea zengwe kisa mapenzi,labda kama mdogo wako limbukeni sana ila hakikisha kiwango cha siri zako nyingine humshirikishi mdogo wako...
 
Back
Top Bottom