Simuelewi mchumba wangu naomba ushauri plz plz

Mimi na mchumba anasoma
4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

Jamani hizi lugha nyingine?????
kwenye sms tunaandika mikato kupunguza gharama, lakini hata hapa????:A S 13:
 
Akiharibikiwa kwenye masomo utaendelea kumpenda??????

Au utaingia mitini na kutafuta wa Rank unayoitaka???

Mwache mwenzio asome kwa manufaa yenu kama utamvumilia
 
Hey wana JF huyu dogo anatakiwa kupewa elimu ya mahusiano rather than personal attack!!

Dogo sio kusex na mwanafunzi tu bali ni kusex na binti yoyote ambaye under 18 ni kosa kisheria kwani unakuwa umebaka na adhabu yake ni kifungo miaka 30.
Muache asome na umuogope kama ukoma. Darasa la bure
 
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

Miaka 16? wewe una umri gani? Huo umri ni mdogo sana, hebu muache mwenzio asome aisee, usimharibie maisha. Watoto wa siku hizi bwana!
 
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

Muache asome wewe. . .unataka kukachosha katoto kawatu mapema
 
...hii kwanin MODS wasiipeleke jokes.. Mie nimejikuta nacheka tu..hasa watu wanavyoghadhabika kwa upuuzi wa kitoto

teh teh teh teh
 
Aiseee mtoto huyo mwache asome! Kweli wewe unahitaji darasa wengine tupo chuoni hatujawah kuwa na mahusiana wewe ndo unaona umalaya ni tija utafungwa wewe acha ufedhuli dogo tena mtoto wa form1.WACHA UPESI AMA NTAKUTAFUTA NKUFUNGE.
 
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

walimu mbona tuna kazi,halafu wakifeli wazazi mnatoa macho juu!oh walimu wamegoma,hawafundihi!sasa hapa sijui nichape,sijui nishauri,sijui nitoe suspenshen.nafikiri nifanye yote tena haraka sana!bila kusahau elimu rika!
 
Back
Top Bottom