Simuelewi mchumba wangu naomba ushauri plz plz

Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

Mchumba anasoma form 1?Huo ni ubakaji wa waziwazi!Utashitakiwa na kufungwa jela!
 
hey ni vizuri tungejua na ww una umri gani.. kama ni U18 kama mwenzako ni bora U-chill hizo pressure za mihemko(hormones) ndo znakupelekesha, stay focus kwa shule, be determined. hayo mambo utayakuta dogo. ILA kama ni over18 Meeen UR playing with FIRE! na ndo maana wadau wamekushambulia ivo. G-PANGE mzee mademu wapo wengi waliotayari kuliwa, MUACHE mtoto asome.
 
huyo ni mchumba au ni kijigirlfriend? na ww una miaka mingapi hadi unamfuata fuata hiyo toto
 
Hivi wewe??? Una wazazi kweli I wish ningekujua wewe ningekuroga hata!! Shame on you
 
Sixteen???? a 4mm one student???? a joke. I guess you are not serious!!!!
 
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

Mwache mtoto wa watu asome, kama wewe ni mtu mzima acha hizo tabia za kifataki kabisa. Kumbuka ukimlala huyo dada utakuwa umembaka kwa kuwa chini ya Penal Code 'a girl under 18 years of age cannot consent to sex'.
 
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

Daaaaah aiseee embu mwache huyo mtoto asome kama ni wachumba wako wengi tu kitaa!!achana nae kabisa au Nimwambie MULUGO au MWANRY??wakufuatae ww baladhuli!!
 
Puuuzi sana ili toto..eti mchumba tooba!
Yaani umeamua kumuita mchumba kabisa.watoto mna mambo nyie.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom