Simuelewi huyu Mwanamke-Msaada wanaJF

We usiwe ***** kila m2 kumwambia matatizo yako ulio waambia wanatosha pili akitokea m2 kukuuliza na wewe mwambie mnakula goodtime hapo adabu itarudi anakupima ni kiasi gani unampenda so usiruhusu udhaifu uendelee atakufanya mtumwa ktk love baadae kukosa sio sababu ya kuku bwekebweke kiivyo mpotezee kimtindo na kabla ya kumpotezea 2mia dictector voice mmbembeleze akichomoa mpe kavu moja "ok poa isiwe shida kukupenda acha nianze upya maisha mema" ukimaliza usitazame nyuma kama wiki aki2ma ujumbe na ww waambie mpo poa then rudi kwenye game try hili 3-5-1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom