kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 718
we unapenda mteremko! Wako warembo wanavaa engagement ring na pete za ndoa kumbe hawana hata boyfrend. Mi hata uniambie unawatoto wawili, au una mchumba wa muda mrefu na mnapendana sana, mi nakupa kitongozo hivyo hivyo nikishakula ndo nitajua ustaarabu mwingine! Msiwe mnakata tamaa kirahisi. Mambo mazuri hayataki harakaMsichana anayetaka uhakika kama nampenda atafute neno tofauti la kuniambia, siyo kunitamkia kuwa ana mtu na wanapendana sana... Kwangu mimi sentensi ya hivo inani-turn off na nitakuchukulia kama dadaangu, hakuna namna utanipata tena.. Kama unahitaji mda mwambie mtu, hauko tayari au unahitaji mda, nk. Lkn siyo kunijengea picha kuwa kuna mtu mnapendana sana kumbe unavuta mda sijui kufikiria au kunichunguza, hamna kitu hapo... wizi mtupu.. Kuna watu ukifanya hivyo imekula kwako.