Simuelewi chege chigunda

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Nakiri kuwa Chege mtoto wa mama side ni msanii mzuri na muziki anaupatia. Kuna wimbo wake nimeufuatilia hadi mwisho nimeshindwa kubaini alikuwa anamaanisha nini. Anasema hivi:

Hili dude bwana weee la kimataifa, ukilipata unapeta, stimu huja juu, shida zote zakuondoka, hata huko nako wanalisifu, jamaika wanalisifu, Bob Marley analisu. Napata shinda hilo dude la kimataifa ni kitu gani maana hajatamka bayana, sisi wa bara twapata shida jamani
 
Ha haaaaaa
Mkuu wimbo huu unakusumbua tafsiri?

Hebu sikiliza taarabu na miduara ndio utajua maana ya tafsda kwenye sanaa

Wewe ukipeleka tafsiri kwenye bangi utaona inakubali maana jamaika wanavuta, Bob alivuta na inakupa high

Ukipeleka kwenye rege inakubali maana jamaika ndio nyumbani na Bob ndio waanzilishi na inakupa hisia

Wewe tu na roho yako
 
Back
Top Bottom