donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
mtu una mpenz wako,mnawasiliana sana kwenye simu na muda mwingi wewe ndo unampgia au kumuanza kumtext then yeye ndo anafatia. Tatizo linakujaje? Siku ukiamua kama kuuchuna ivi uone,mwenzako ndo kwanza hata hakutafuti ad mwsho una amua kuvunja ukimwa nakumtafuta wewe mwenyewe. Je,hii inasababishwa na nin? Kama mtu hawez kukutafuta ad umtafute kweli atakua anakupenda huyo au ndo unapoteza mda wakobure? Kweli inakera. Aaaargghh...!!