Simu za viganjani zina mambo

Mwanamke akifikia hatua ya kuchakachua NDOA yake lazima kuna jambo. Wanaume wengine wana tabia mbaya, wanajifanya wajanja sana kumbe wajinga; wewe unamfahamu mumeo vilivyo kwa kazi; mara ghafla Ooh!!!!!!! nimechoka sana leo!!! sijui kichwa kinaniuma!!!!!!!!!!!mara kaja kalewa chakari kumbe uongo katoka kuchakachua huko nje na mwanaume mwenye tabia hiyo ukitaka kufanya mazungumzo naye kuhusu tabia yake mpya aliyoianzisha; basi ni mkali kama MBOGO!!!!!!!!!!!!Asilimia kubwa wanawake wakishaona hivyo wanajua tayari anaibiwa, hivyo naye anatafuta wa kumfariji.!!!!!!!!!!!!!!!"USILOPENDA KUFANYIWA WEWE, BASI USIMFANYIE MWENZIO" Habari ndio hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wewe nawe ukiona unaibiwa huwa unatafuta mwanaume mwingine wa kukufariji au?
 
subili yakikukuta ndo utaliona jiji na usijeukatulalamia hapa kuomba ushauri. Simu ya mumeo ni yako na yako ni yake ndo maana nyie ni mwili mmoja. Kuwa muwazi kwa mwenzi wako ni kupi kama mtu huwezi shika simu ya mwenzi wako kisa unaogopa kufa na presure? Kama kila mwana ndoa akiwa na chake ana siyo chako ni chake basi kuna tatizo. Mie kwangu hata kama ni message Imeingia mama watoto ataisoma na Ikiwezekana ataijibu kupokea hilo ndo alina mjadala. Hii yote ni kuongezea trust miongoni mwenu wanandoa. Uaminifu gani unaosema kama hauko free kusoma mesage za mwenzi wako. Hata kwenye ndoa nako kuna controls zake siyo kwenye business operations tu. Inakuguide katika tabia zako na kukufanya mda wote uwe unamfikilia mwenzi wako kuliko kuijiendea tu ukijuwa mwenzi wako hatasoma message zako. Ndiyo wewe si mtoto kuchungwa lakini zinakuwepo self controls kuendelea kumhakikishia mwenzi wako kuwa ni yeye tu.[/COLOR][/COLOR]

Unajisiake Unaposhika simu ya Mwenzi wako anakwambia '' Usishike simu yangu na yako huwa siishiki'' Huwezi kuhoji kwa nini anakwambia hivyo?. Hata kama unamwamini kiasi gani lazima tu utabakia na walakini katika hilo. Kwa nini sasa ubakie na mawazo moyoni wakati wote mngekuwa free kwa kila mmoja hayo yangehepukika? Uaminifu upo lakini ni lazima ziwepo controls zinazowaongoza japo hazijaandikwa popote na moja wapo ni hiyo ya kuwa free kwa kila mmojawapo kuaccess information za mwingine. Siyo kwenye simu tu hadi kwenye e-mails anaingia na kusoma maana hakuna jambo ambalo nitalifanya kwenye e-mails la manufaa ambalo yeye hatakiwi kulijuwa.



Ngo, nimesema clearly kwamba, hakuna mtu aliyemkataza mwenzie kushika simu yake. na wala sijasema kuwa yeye yangu haishiki (maana siwezi kujua ninapoiacha simu yangu jirani naye kama yeye hana tabia ya kupekuwa simu yangu au la), kama anafanya hivyo, kivyake. ila mimi sipekui simu ya mume wangu, kuishika naishika... kuitumia naitumia kila ninapohitaji kufanya hivyo, ila kuipekua ndo siipekui................ that is me, na nitaendelea kuwa hivyo
 
Kama mwanamke atakuwa hajui hiyo sms inatoka wapi kwanini alikimbilia kufuta? halafu inaonyesha si mwaminifu kilichofanyika ni kuuondoa ushahidi then ndo waongee. kwanini na huyo mwanaume hakuicopy hiyo namba yake kabla ya kumwite mkewe? Anyway wote wanaonekana siyo waaminifu hivyo waishi bila kumfuata au kuchunguzana.
Jamaa aliamini kwakuwa ameshaisoma mkewe atakuwa wazi,ila anajilaumu kwa hilo
 
Jamaa aliamini kwakuwa ameshaisoma mkewe atakuwa wazi,ila anajilaumu kwa hilo

Anajilaumu alafu kakaa tu kimya ningekua mimi ningemtandika mpaka aseme na walah angesema 2 shwain nimeona msg unaifuta halafu unaniambia cjui lazima kingeeleweka hapo huyo mwanaume analelewa nini?
 
Mwanamke akifikia hatua ya kuchakachua NDOA yake lazima kuna jambo. Wanaume wengine wana tabia mbaya, wanajifanya wajanja sana kumbe wajinga; wewe unamfahamu mumeo vilivyo kwa kazi; mara ghafla Ooh!!!!!!! nimechoka sana leo!!! sijui kichwa kinaniuma!!!!!!!!!!!mara kaja kalewa chakari kumbe uongo katoka kuchakachua huko nje na mwanaume mwenye tabia hiyo ukitaka kufanya mazungumzo naye kuhusu tabia yake mpya aliyoianzisha; basi ni mkali kama MBOGO!!!!!!!!!!!!Asilimia kubwa wanawake wakishaona hivyo wanajua tayari anaibiwa, hivyo naye anatafuta wa kumfariji.!!!!!!!!!!!!!!!"USILOPENDA KUFANYIWA WEWE, BASI USIMFANYIE MWENZIO" Habari ndio hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

bacha said:
Wewe nawe ukiona unaibiwa huwa unatafuta mwanaume mwingine wa kukufariji au?

Bacha,
Alilosema mdau hapo juu ni la kuheshimu. We kwako kumfanyia wife infi ni sawa tu?! kwani yeye roho yake ni ya chuma? Hana wivu? Wanaume bwana, mnashangaza sana!!! Unamtesa mwenzio kwa kumcheat alafu unaona ni sawa tu. Asubiri umletee maradhi sio? Kwi kwi kwi. Umoja ni nguvu............. malizi mwenyewe. Kwa kauli hiyo, mi nikigundua mwenzangu ananicheat tutachangia tu kuuleta huo ugonjwa. Siwezi kufa na kijiba cha roho. Bora nikajipe raha tufe wote taratibu. KHA!!
 
sasa rafiki inategemea na type ya mume mwenyewe inaweza ikawa ndo wale hata ukiona msg ya ajabu kwenye simu yake ukiuliza anakwambia nani kakuambia ushike simu yangu na ukiendelea kuhoji ugomvi unaanza mmh ivi vitu vingine sikia kwa jirani tu kuna watu vichwa ngumu

Anajilaumu alafu kakaa tu kimya ningekua mimi ningemtandika mpaka aseme na walah angesema 2 shwain nimeona msg unaifuta halafu unaniambia cjui lazima kingeeleweka hapo huyo mwanaume analelewa nini?
 
Ushauri wa bure, Mie ninawasiwasi na huyo kaka, kama hampi haki yake huyo dada, wanawake huwa hawakawii kutafute malisho mengine. Na sio vitu vikubwa wanavyo hitaji hawa viumbe. Wanahitaji kuona ni special, important, needed na siyo kuwakiwa wakiwa kila siku. Sasa sometimes watu wanachanganya mke na wanawake anao fanyanao kazi kwake ni sawa. Ebu ajaribu kurevise life pale home.
 
Hamna ndoa hapo mkuu jamaa acjhukue chake mapema tu
Kuna siku nilielezea jinsi jamaa alivyo pigwa marufuku na mke wake kushika simu yake na alimwambia akishika ataipasua hiyo simu,sasa jana jamaa kaja tena na malalamiko mengingine, anasema ilikuwa muda wa saa tatu usiku mkewe alikuwa sebuleni yeye chumbani,mke wake akawa ameacha simu yake kitandani,akiwa pale akaona sms imeingia,maana anasema siku hizi mke wake huwa simu anaiweka silent,akaamua kuisoma kama kawaida yake alikutana na ujumbe unasema hivi"darling nashukuru sana maana mama g......amenielezea na sasa hivi mb.....inataka kutoboa ch.....,"baada ya kuisoma hapo hapo alimwita mkewe na kumwambia kuna sms yako,mama alipo isoma tu na kuifuta,jamaa akamuuliza ninani katuma hiyo sms amwambia sijui amwambia lete tumpigie akasema nimeshaifuta,kwanini bahati mbaya,sasa jaama anaomba ushauri kweli hapa kuna ndoa endelevu tena?maana aonavyo yeye mama anachakachua ndoa yao,wanajf mnasemaji kwa hili?
 
angalia utakufa cha msingi ni uaminifu, la mambo yakizidi mwonye akikataa waambie wazazi asiposikia huyo ni sikio la kufa !
 
Huyo jamaa yako wanamchakachulia ndoa, cha muhimu aamue moja:

  1. Akae aongee na mkewe ajue tatizo na kama linarekebishika (pia kama ana moyo mpana) asamehe waanze maisha mapya!!!!:redfaces:
  2. Wakae waongee utaratibu wa KUGAWANA MALI.
 
Utaratibu wa kugawana mali wa nini, muuji unagawana vipi mali nae? ki ukweli tumekuwa siyo waaminifu kwenye ndoa zetu ndiyo maana kila kukicha mambo yanakuwa magumu ukiuliza oon ni hali ya uchaguzi ndiyo maana hakuna hela, kumbe ni ufuska unaoendelea kwenye familia zetu. Cha msingi ni kuongea na kuweka mambo wazi, ikizidi sana, kaka yangu ondoka na kabegi kako wahi ukaanze maisha upya huyo ni jinamizi atakuua bure hana mshipa wa aibu, hana adabu, hana akili pia nafikiri hana Mungu completeley!

Ogopa mwanamke au mwanamme asiye na aibu (hamwogopi Mungu kwa lolote). Unamfanyia mkeo au mumeo mambo machafu unaona ni kawaida, una uwezo wa kujibu majibu yoote ya ****** na mtaani bila kufikiri kule mlikotoka. Hivi kwa akili zetu za kawaida bila Mungu, huyo anayekufanya umfanyie mkeo au mmeo hayo baada ya kuachhana atakuchukua? hata kwa shinikizo la millioni 50 hakukaribisihi kwake wewe ulikuwa disposable ata that particular time.

Jali ndoa zenu, unaweza kufanya huo uhuni wako kimya na usikifikie hatu ya kufanya dharau mbele ya familia yako. I bless you guys Mungu atutie nguvu huyo pepo wa ngoni asituvamie.

Amen
 
Back
Top Bottom