Simu za viganjani zina mambo

Kuweka makubaliano na mwenzio namna ya kuandika majina kwenye phone books ni jambo muhimu sana, vinginevyo, matakuwa mnajenga mazingira ya kila mmoja kupata wasiwasi juu ya mwenzie...!

kwa nini watu wanapotosha maana ya ndoa?
sidhani kama kuna haja ya kukubaliana jinsi ya kuandika majina, lakini cha muhimu ni kuwa freee na simu zenu, mimi sioni logic ya watu wanaoishi pamoja, kulala pamoja na kila kitu ni kimoja cha kifamilia, lakini mwisho wa siku kunakuwa na usiri kwenye simu, simu za wanandoa zinatakiwa kuwa free muda wote na kwa yoyte
 
Hayajakukuta wewe mimi simu ya mwenzangu sithubutu kuigusa hata siku moja ila yeye ndio huwa anaigusa niliwahi kuigusa nikalazwa kwa BP so nilishajiepusha siku nyingiiiii

Mi hayajanikuta ila sidhani kama ni busara kupekua simu ya mwenzio. kama nataka kupiga au ku-sms kutumia simu yake namwomba, nampa namba yeye ndo ananipigia. ila mambo ya kupekua sijui sms, mara phonebook, sijui call directory..... kwa kweli hayajaniingia bado akilini. naona ni kama kukosa uaminifu.
 
We dema amsi unamdanganya huyo jamaa, asipokuwa makini jamaa huyo mke atapeleka pa baya, haiwezekani mama awe na mahusiano nje ya ndoa hadi wanatumiana meseji za mapenzi matamu namna hiyo halafu akae kimpya. Jamaa alikosea kumpa mama simu ajosomee meseji, alipaswa kumsomea huku ameshika amulize huyo jamaa ni nani asipotaka ampigie wakati mama anaona ili amjue mwizi wake. Hatuwezi kuwa na mke mmoja wanaume wawili lazima mmoja abaki naye na ningemkabidhi huyo mke jioni hiyo hapo hapo. Sasa alishakosea namshauri siku nyingine aache upole wake huyo ataletea maradhi nyumbani.
 
mi hayajanikuta ila sidhani kama ni busara kupekua simu ya mwenzio. Kama nataka kupiga au ku-sms kutumia simu yake namwomba, nampa namba yeye ndo ananipigia. Ila mambo ya kupekua sijui sms, mara phonebook, sijui call directory..... Kwa kweli hayajaniingia bado akilini. Naona ni kama kukosa uaminifu.

umeongea kweli kabisa!!!! Nimeishiwa maneno
 
We dema amsi unamdanganya huyo jamaa, asipokuwa makini jamaa huyo mke atapeleka pa baya, haiwezekani mama awe na mahusiano nje ya ndoa hadi wanatumiana meseji za mapenzi matamu namna hiyo halafu akae kimpya. Jamaa alikosea kumpa mama simu ajosomee meseji, alipaswa kumsomea huku ameshika amulize huyo jamaa ni nani asipotaka ampigie wakati mama anaona ili amjue mwizi wake. Hatuwezi kuwa na mke mmoja wanaume wawili lazima mmoja abaki naye na ningemkabidhi huyo mke jioni hiyo hapo hapo. Sasa alishakosea namshauri siku nyingine aache upole wake huyo ataletea maradhi nyumbani.

Simdanganyi namwambia ukweli unaweza kumchunga binadamu niliuliza juzi hapa mkasema hawezi hata akimdhibiti kwenye simu kuna njia kibao tena ndo unampa maarifa zaidi ya kuweza kufikiria kucheat. Unajua kuwa kukaa kimya ni adhabu kubwa sana kuliko kuongea?! We fanya kosa halafu mwenzio akae kimya asikuulize kitu na amejua unaweza kuendelea? Utakuwa muoga kwasababu hujui anafikiria nini au nasema uongo? so yeye kaona hivyo akae kimya uone kama ataendelea tena asiiguse kabisa simu ya mkewe
 
kwa nini watu wanapotosha maana ya ndoa?
sidhani kama kuna haja ya kukubaliana jinsi ya kuandika majina, lakini cha muhimu ni kuwa freee na simu zenu, mimi sioni logic ya watu wanaoishi pamoja, kulala pamoja na kila kitu ni kimoja cha kifamilia, lakini mwisho wa siku kunakuwa na usiri kwenye simu, simu za wanandoa zinatakiwa kuwa free muda wote na kwa yoyte

Kituko, siyo kama kuna usiri katika simu. Mfano mimi, hata siku moja mume wangu hajanikataza kushika simu yake, na mara nyingi tu huwa anaiacha sehemu ambayo mimi nipo na yeye akaendelea na shughuli zake. lakini simu yake ikiita, hata kama ipo chumbani na mimi yeye yupo nje, nitaibeba na kumpelekea huko aliko. na kama sms imeingia siwezi kuisoma sababu ile simu siyo yangu......... ni kautaratibu tu nimejijengea, siyo sababu yeye hataki niguse simu yake
 
Simu haziachanishi ndio bali tabia yako mbovu ndio huachanisha ndoa. Kama hutaki mumeo/mkeo ashike simu yako then kuna tatizo kwako
kaka umeongea point,hivi kweli kama siyo mumeo au mkeo nani mwingine ashike simu yako?
 
Nyongeza ya hapo kwenye bold AMEKWISHA ibiwa........jamaa aukubali ukweli huu; na sio kujipa tumaini.........na asimame kushughulikia tatizo!
huyu jamaa akisikia hivi leo hii anamuondoa kesha choka,ila kinacho muuma kampa mama mtaji wa hiyo biashara
 
Kituko, siyo kama kuna usiri katika simu. Mfano mimi, hata siku moja mume wangu hajanikataza kushika simu yake, na mara nyingi tu huwa anaiacha sehemu ambayo mimi nipo na yeye akaendelea na shughuli zake. lakini simu yake ikiita, hata kama ipo chumbani na mimi yeye yupo nje, nitaibeba na kumpelekea huko aliko. na kama sms imeingia siwezi kuisoma sababu ile simu siyo yangu......... ni kautaratibu tu nimejijengea, siyo sababu yeye hataki niguse simu yake
hayajakufika we jisifie tu, yakikukuta hutasema
 
Hali ni mbaya huyo anaibiwa, achunguze chanzo cha tatizo siyo kuliangalia tatizo lenyewe. Inakuwaje mpaka mwanamke anafikia kutumiwa msg za darling--- hali ni mbaya achunguze na kuchukua hatua haraka.
 
Kituko, siyo kama kuna usiri katika simu. Mfano mimi, hata siku moja mume wangu hajanikataza kushika simu yake, na mara nyingi tu huwa anaiacha sehemu ambayo mimi nipo na yeye akaendelea na shughuli zake. lakini simu yake ikiita, hata kama ipo chumbani na mimi yeye yupo nje, nitaibeba na kumpelekea huko aliko. na kama sms imeingia siwezi kuisoma sababu ile simu siyo yangu......... ni kautaratibu tu nimejijengea, siyo sababu yeye hataki niguse simu yake

Aisee basi mimi najiona nina tatizo somewhere, jinsi tulivyojijenga simu yangu kama yake na yake kama yangu, simu yangu hata siku moja haiwezi kuwa na simu wala msg za upuuzi za kuaribu uhusiano wangu, kama sipo karibu na simu ikilia anaipokea na kujibu simu na nikifika ananipa maelezo na hata msg anasoma tu na kama ni ya kujibu anaweza kujibu kwa niaba na mimi niko hivyo kwa simu yake, kwangu mimi simu ni chombo cha mawasiliano na sio chombo cha kusababisha kero na kuvunja maelewano ya familia, kwa nini uwe na siri kwa mwenzio?
 
angemwambia sms imenifanya chini kuchanganye sikujua kuna mambo hayo, halafu ukaenda lala kwa wiki moja aone reaction ya mkewe then wakae kuongea na mke ndiye awe msemaji mkuu
 
Mwambie huyo jamaa yako aachane kabisa na mambo ya kushika simu ya mkewe atakufa na presure. Simu ni personal sana aachane nayo. Na akitaka ndoa yake ivunjike ajihusishe na hiyo simu ya mkewe hajasikia kuwa simu zimeachanisha sana ndoa? Aachane nayo kabisa[/QUOTE]

Ndoa zina mambo kwakweli!
Kwa nini simu zinaachanisha ndoa? Ni simu au tabia za watu kutokuwa waaminifu kwa wenzi wao? Ni kipi kilicho cha sili ambacho hutaki mtu ambaye unasema ni mpenzi wa moyo wako au Mke/mume toka kwa bwana hutaki akijue? Kuficha ficha huko ndo kunawafanya wengi wenu kulalama kila siku ndoa zenu zinamatatizo maaana hamna mawasiliano yaliyo ya wazi. Na hayawezi kupatikana kama kila mmoja wenu ana mambo ambayo hataki mwingine ayafahamu.

Kusema huyu ni mke/mume wangu inamaana kuna upendo wa kweli, mnaheshimiana, munajaliana, hutaki kukosea mwenzi wako na unampenda na hivyo vyake ni vyangu na vyangu ni vyake. Unavyosema kuangalia simu ya mwenzi wako utakufa na presure ni kwa sababu miongoni mwenu hamko waaminifu ndo maana unaweaz kufa na hiyo presure. Kwa nini uruhusu message za kipuuzi kuingia kwenye simu yako? Inamaana na wewe hizo message huwa unazituma na umekubaliana na tabia hiyo hata kama ni utani. Kwanini ufanye kitu ambacho mwenzi wako asingekipendelea? Utani unaoingilia masuala ya ndoa au kuyahatarisha ni bora kuliko unavyomjali mwenzi wako?

Kwangu mimi hiyo hapana, kama ni hizo message nazipiga marufuku mtu kunitumia. Utani wa ajabu ajabu huo ndo unasababisha mwishowe watu kuingia kwenye mahusiano mengine nje ya ndoa zenu. Na wengi wa watu wanapiga marufuku wanandoa wao kuangalia au kushika simu zao si waaminifu ndo maana hawataki wapenzi wao kushika simu zao.

Endeleeni kuintatain hizo tabia mtakuta mtoto si wenu tena. Ni mawazo tu
 
Fixed Point;1277182]Mi hayajanikuta ila sidhani kama ni busara kupekua simu ya mwenzio. kama nataka kupiga au ku-sms kutumia simu yake namwomba, nampa namba yeye ndo ananipigia. ila mambo ya kupekua sijui sms, mara phonebook, sijui call directory..... kwa kweli hayajaniingia bado akilini. naona ni kama kukosa uaminifu.[/QUOTE]

Subili yakikukuta ndo utaliona jiji na usijeukatulalamia hapa kuomba ushauri. Simu ya mumeo ni yako na yako ni yake ndo maana nyie ni mwili mmoja. Kuwa muwazi kwa mwenzi wako ni kupi kama mtu huwezi shika simu ya mwenzi wako kisa unaogopa kufa na presure? Kama kila mwana ndoa akiwa na chake ana siyo chako ni chake basi kuna tatizo. Mie kwangu hata kama ni message Imeingia mama watoto ataisoma na Ikiwezekana ataijibu kupokea hilo ndo alina mjadala. Hii yote ni kuongezea trust miongoni mwenu wanandoa. Uaminifu gani unaosema kama hauko free kusoma mesage za mwenzi wako. Hata kwenye ndoa nako kuna controls zake siyo kwenye business operations tu. Inakuguide katika tabia zako na kukufanya mda wote uwe unamfikilia mwenzi wako kuliko kuijiendea tu ukijuwa mwenzi wako hatasoma message zako. Ndiyo wewe si mtoto kuchungwa lakini zinakuwepo self controls kuendelea kumhakikishia mwenzi wako kuwa ni yeye tu.

Unajisiake Unaposhika simu ya Mwenzi wako anakwambia '' Usishike simu yangu na yako huwa siishiki'' Huwezi kuhoji kwa nini anakwambia hivyo?. Hata kama unamwamini kiasi gani lazima tu utabakia na walakini katika hilo. Kwa nini sasa ubakie na mawazo moyoni wakati wote mngekuwa free kwa kila mmoja hayo yangehepukika? Uaminifu upo lakini ni lazima ziwepo controls zinazowaongoza japo hazijaandikwa popote na moja wapo ni hiyo ya kuwa free kwa kila mmojawapo kuaccess information za mwingine. Siyo kwenye simu tu hadi kwenye e-mails anaingia na kusoma maana hakuna jambo ambalo nitalifanya kwenye e-mails la manufaa ambalo yeye hatakiwi kulijuwa.

Hapo jamaa tayari analiwa vyake na haitaji kukaa chini na kuzungumza kwani ushahidi tayari kaupata na hana haja ya kuuliza nini kinaendelea.
La msingi ni kufanya uamuzi wa busara kwa namna anavyoona yeye jinsi maisha yalivyo na huyo mwenza wake
 
Hapo hakuna uaminifu wala kuaminiana - ndiyo maana meseji zinafutwa na simu kusachiwa. Ndoa iko ICU.
 
Kama mwanamke atakuwa hajui hiyo sms inatoka wapi kwanini alikimbilia kufuta? halafu inaonyesha si mwaminifu kilichofanyika ni kuuondoa ushahidi then ndo waongee. kwanini na huyo mwanaume hakuicopy hiyo namba yake kabla ya kumwite mkewe? Anyway wote wanaonekana siyo waaminifu hivyo waishi bila kumfuata au kuchunguzana.
 
Mwanamke akifikia hatua ya kuchakachua NDOA yake lazima kuna jambo. Wanaume wengine wana tabia mbaya, wanajifanya wajanja sana kumbe wajinga; wewe unamfahamu mumeo vilivyo kwa kazi; mara ghafla Ooh!!!!!!! nimechoka sana leo!!! sijui kichwa kinaniuma!!!!!!!!!!!mara kaja kalewa chakari kumbe uongo katoka kuchakachua huko nje na mwanaume mwenye tabia hiyo ukitaka kufanya mazungumzo naye kuhusu tabia yake mpya aliyoianzisha; basi ni mkali kama MBOGO!!!!!!!!!!!!Asilimia kubwa wanawake wakishaona hivyo wanajua tayari anaibiwa, hivyo naye anatafuta wa kumfariji.!!!!!!!!!!!!!!!"USILOPENDA KUFANYIWA WEWE, BASI USIMFANYIE MWENZIO" Habari ndio hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom