Simu za Kichina

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
65
19
Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!?

Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom