Simu za kichina.

Nipo ndani ya Coaster naelekea home Tunduma.Kuna abiria washamba wawili wanashindana kupiga music iliyomo kwenye simu zao,yaani gari zima ni kelele tupu mpaka kero.Sasa najiuliza,hivi hizi simu za kichina ni SIMU YENYE REDIO au ni REDIO YENYE SIMU?

pole na safari lakin kumbuka hapa tupo grt thnkerz so izo insu ungeweza kusolve mwenyew wit out telng ur hpe u gatcha dat,nc journey
 
sikilizia akizima au kuwasha hiyo kelele utakimbia au apigiwe na awe ameweka ule wimbo wa mwaitege utanitambuaje ni balaa,hapata kalika harafu yeye anaitoa mfukoni taratibuuuu
Sijui wachina wlijuaje kuwa mazuzu sisi tunapenda sana makelele
 
Kwanini anunue simu ya gharama kubwa wakati simu ya bei nafuu (Mchina) ipo? Hilo suala la kelele ni settings tu, yaweza kuwa ushamba but the volume can be minimized. Swali ninalojiuliza ni hili hivi kuwa na simu ya Kichina ni umaskini?
Kaka mbona unatetea sana hoja hii! Hizo simu za kichina kwanza kabisa quality standard yake ni NDOGO sana Mimi sijawahi tumia lakini najua hazidumu hata kidogo
 
Kaka mbona unatetea sana hoja hii! Hizo simu za kichina kwanza kabisa quality standard yake ni NDOGO sana Mimi sijawahi tumia lakini najua hazidumu hata kidogo
Tell him,mimi nimeshuhudia kwa marafiki zangu,kwa miaka miwili mtu ananunua simu tatu za sh.70000 kila moja,anakuwa ametumia sh.210000 kwa miaka miwili wakati mimi nina kasimu kangu ka sh.180000 kanachungulia mwaka wa tatu tangu nikanunue,hapo ndo tunasema CHEAP IS EXPENSIVE!
 
Naona huzijui sim za mchina ndugu yangu. Sauti haipunguziki,hizo kelele unazozisikia ndio wamepunguza mpaka mwisho yaani ndio wameweka volume 1.

Domhome;Kwanini anunue simu ya gharama kubwa wakati simu ya bei nafuu (Mchina) ipo? Hilo suala la kelele ni settings tu, yaweza kuwa ushamba but the volume can be minimized. Swali ninalojiuliza ni hili hivi kuwa na simu ya Kichina ni umaskini?
 
Kuna simu niliiona blackberry ina line 4 na zote ziko hewani kwa pamoja,nilichoka!bei tsh 80,000 kama sikosei.sijamuona nayo tena yule ndugu,nadhani ishakufa
 
Hizo kelele hapo volume ipo chini kabisa, sasa balaa lipo ikiwekwa kwenye vibration halafu iwe mezani, ni tetemeko la ardhi!
 
Mi kanokia kangu nmechkua sh120,000 toka 2007 hadi tym hz nadundia JF duh!Ingkuw mchinnese ndo ningfaham kwel quality is better than quantity
 
Hizo kelele hapo volume ipo chini kabisa, sasa balaa lipo ikiwekwa kwenye vibration halafu iwe mezani, ni tetemeko la ardhi!

teh teh teh teh teh teh teeeh mkuu umenikumbusha kimbwanga kimoja suku moja tupo kwenye daladala tunatoka usa river tunaenda arusha mjini, si unajua akina mama kila kitu wanaweka kwenye matiti, mfano hela simu, sasa siku hiyo kaweka simu kwenye matiti na kajisahau kama kaweka kwenye matiti, akapigiwa, simu la kichina likaanza vibration huku linaimba wimbo wa rose mhando wa nibebe, saa ngapi mama wa watu asihamaki na kuleta valangati ndani ya kipanya, watu njia yote ni kicheko mpaka tunafika arusha mjini
 
niliingia kwenye mgahawa flani uko uswazi sasa si unajua sku hizi ni mambo ya tv kila kwenye migahawa... Sasa nikawa naangalia taarifa ya habari huku napata b.fast.. It was so interesting na kwa kua wale jamaa wa mgahawa hawakua na extrnal sound system.. So spika za tv ndio zilikua zinategemewa kwa kutoa sauti kwenye mgahawa mzima... Basi akaingia jamaa na mchina wake... Mimi siwalaumu kwa kuununua mchina.. Lakini sio kila unacho kisikiliza wewe ndio dunia nzima iko kwenye mood ya kusikiliza icho kitu... Na ndio maana hata siku hizi hiyo michina inauzwa na ear-pc. Jamaa akaingia na akaweka max volume.. Sasa taarifa tukawa hatuisikii.. Kazi ni kusikiliza simu la huyu jamaa tu apa... Halafu mwenyewe anaona kama vile tumefurahia kile kitendo... Nilijiskia kumpa ngumi nzito kweli...!!!
 
Hapo mlitakiwa muunge huo mchina pamoja na tv coz zinaweza kuwa alternative ya Sw
 
simu za mchina ni janga kwa taifa. Serikali haina budi kuzpiga marufuku kwani znachangia umaskn. Simu ukchaji inacheka kama naniii..
 
teh teh teh teh teh teh teeeh mkuu umenikumbusha kimbwanga kimoja suku moja tupo kwenye daladala tunatoka usa river tunaenda arusha mjini, si unajua akina mama kila kitu wanaweka kwenye matiti, mfano hela simu, sasa siku hiyo kaweka simu kwenye matiti na kajisahau kama kaweka kwenye matiti, akapigiwa, simu la kichina likaanza vibration huku linaimba wimbo wa rose mhando wa nibebe, saa ngapi mama wa watu asihamaki na kuleta valangati ndani ya kipanya, watu njia yote ni kicheko mpaka tunafika arusha mjini
ha ha ha ha haaaah!! Nimewahi shuhudia dada mmoja akiitupa simu yake baada ya kuita na ilikuwa kwenye vibration, alijisahau kama ameshika simu.
 
ha ha ha ha haaaah!! Nimewahi shuhudia dada mmoja akiitupa simu yake baada ya kuita na ilikuwa kwenye vibration, alijisahau kama ameshika simu.
ha ha ha haaaaaa... Hii noma yana vibrate kama engen ya bedford vile... Yani yale hata ukiweka silence na ukaeka vibration usiku akakupigia mtu... Kwa vibration yake inavyo tikisa vitu apo mezani kama kwenye epicentre ya earthquake... Lazima uamke tu...!!! So mtu mwenye simu ya mchina hata akikwambia "ckuskia call yako coz simu ilikua kwenye vibration.. ” jua muongo tu uyo.. Ile hata ukiiweka juu ya manyoya.. Ikivibrate utaiskia tu..!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom