0713276716 wasiliana na huyo mtu atakusaidia ni fundi wa appleIPhone 6 yangu imeleta error code 4005. Mafundi kama watatu imewashinda kutengeneza wanasema niipeleke kwa mafundi wa Apple store. Si mtihani huu sasa.
Security unalinda nn kwenye cm, I mean unafanya deals gani zaidi ya kutunza text za michepukoiPhone is the best..
Naikubali for securities purpose
waafrika shida umasikini bwanaHawa Apple ni wndawazi, yaani ukinunua Simu yao tu, wewe ushakuwa wanakumiliki hunamaamuzi tena, lazima ufanye watakavyo wao kwenye simu yako mwenyewe.
Pumbavu zao.
tecno nayo ni simu?Yaani Ukimiliki Iphone Ndo Mastress Yote Hayo Utadhani Ni Nyumba Bhana .. Tupa Kuleee bora Ununue Tu Tecno
sema huna hela tu ungekuwa unazo ungenunua tundo maana sinaga kabisa hata wazo la kununua iphone, mambo ya ku update os kila mara yalinishinda. pole yenu kwa watumiaji wa iphone, lakin naamin kama umeweza kununua iphone 6 bas utaweza kumudu garama za matengenezo, labda kama ulinunua kwa kufuata mkumbo, akat hela yako ya kuungaunga. we ndo itakula kwako.
Haya Bhana! tajiri wakizunguwaafrika shida umasikini bwana
Sio simu ni computertecno nayo ni simu?
Ila wewe si unayo iPhone mkuu? Unaweka spea zipi?Apple sio kwa watu masikini masikini wa kipato
Apple wanamelenga wateja wanaojiweza tu na ndio maana wana product moja tu ya simu yaanj high end
Sasa wale wenzangu na mimi simu ikiharibika unakimbilia spea za kichina apple wamesema big no, maana mavifaa haya yaneweza kutumika kubypass security za apple
Usiwalaumu apple laumu uwezo wetu mdogo
Sio kila ukikubaliana na terms and conditions unakosa haki ya kushtaki...Kabla ya kwenda mahakamani kasome terms and conditions ulizo bonyeza I. Agree
Sawa basi kawashtaki!Sio kila ukikubaliana na terms and conditions unakosa haki ya kushtaki...
Sasa braza kama umekubaliana na sharti lao linaloagiza utumiaji wa vifaa na utengenezaji wa simu kwa official/authorised dealers, utawashtaki vipi hapo?Sio kila ukikubaliana na terms and conditions unakosa haki ya kushtaki...
utasubili sanaWacha niendelee kujiachia na hii simu yangu yenye Android OS maana hapa mtaani kwangu tu mafundi wasiopungua 10,ukienda Kariakoo ndio usiseme,wameshasahau kilichowakuta Blackberry,kifo chao kiko njiani.