Simu za double line mbagala, tabu tupu

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Kama unatumia simu ya line mbili, ukifika mbagala, kuanzia mtoni na kuendelea kama unatokea mjini, mitandao yote haifanyi kazi ispokuwa tigo tu.

Tatizo hili lilianza siku ile ya mabomu ya kwanza, tumewaeleza jamaa wa voda, zain na zantel, wao wanajibu kwa jeuri kuwa sisi tunatumia simu za kichina za bei nafuu.

Kama ndivyo, mbona ukiwa nje ya mbagala hizo simu za kichina za bei nafuu zinashika line zote 2?????.
 
embu wadai hakikisheni hii kama ni kwa simu zote za line mbili au ni specific kwa mhusika. na please jaribu kuweka wazi jina la huyo customer care anaesema eti unatumia simu ya bei poa.
 
Ukweli ni kwamba ni mbagala nzima sio kwa mtu fulani au kaeneo fulani na wala sio hand set aina fulani, kama kuna uwezekano wahusika wafanye research, tatizo ni kwamba tunapowaeleza badala ya kuchunguza wanatupuuza

Jina la muhudumu mmoja wapo ni Mr, Collin
 
Back
Top Bottom