Simu za Blackberry zapigwa marufuku zisitumike nchini.

I think for now, BlackBerry works fine in the Sultanate...I’d be very upset if they suspend BB Services
 
Mkuu usipoagiza kutoka nje utatumia magunzi kama simu? coz, hatuna chochote humu ndani tunachotengeneza zaidi ya yeboyebo. Ukiwaambia Nyumbe watengeneze simu wanaweza, lakini zitakuwa kubwa kama kiatu na hazitabebeka@!!!tehe tehe!1

I second that!!! hahaha hawa jamaa kazi yao kulalamika tuu....
 
Kila teknolojia mpya/ nzuri ina madhara yake. wahusika wanatakiwa kupima kama madhara ni makubwa kuliko faida ya BB, then they shd suspend BB services.
 
sasa pesa zetu wanaturudishia au inakuwaje maana b/berry tumezinunua ati?

HAZIJAZUIWA!

Ni UAE wanataka kuzuia baadhi ya services za Blackberry kama email na BB Messenger (ila simu itaendelea kufanya kazi kama simu) kwa sababu mawasiliano hayo yako encrypted na server zake ziko Canada, so hakuna jinsi ya serikali ya UAE kuzisoma email na msg za watu.

Si unajua kule hawapendi mtu uwe na privacy!
 
Back
Top Bottom