Simu za Blackberry kuboresha Maisha ya Watanzania!

Yahitajika semina elekezi kwa Wa-Tz woooooote... Maisha BORA na Berry-MWEUSI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ivi maisha bora kwenye black berry mwalimu si ndio itakua poa kwa kutuma mtihani mzima mana unatuma file kama lilivo!!! au alikua anamanisha nini,yeye akipatiwa moja ya bure basi anafikiri kila mtanzania ataweza afford!
 
Back
Top Bottom