Simu yangu ina tatizo la kuhifadhi picha

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
1,074
607
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua napata hasara tuu. Ila nikichange storage ziwe kwenye phone zinakuwa poa ila kwenye memory card zinapata hilo tatizo. Je nn chanzo na je nifanyaje, maana nilijaribu hata ku format lkn wapi... Naomba msaada natumia Tecno C 8
671f0abbb977d693459e6ceb24743058.jpg
 
Jaribu kuongeza chaji itoke kwenye hiyo 4% na uhakiki she ina moto wa kutosha kabla hujapiga picha. Vinginevyo badilisha memory kadi inaweza kuwa na viruses.
 
1. Badili hiyo memory card(hii ndo sababu kubwa)

2. Kama 1 above haitosaidia, peleka ikaflashiwe
 
Chaji simu yako ndio endelee na unachokifanya. Baadhi ya simu zikiwa na chaji chini ya 15% huwa zinajipunguzia uwezo wa kufanya baadhi ya mambo mf. Kupiga picha, kufungua baadhi ya Apps n.k.
 
Nilivyosoma tu heading nikajua hiyo simu ni tecno, mimi pia natumia tecno hilo tatizo linanisumbua sana na hata baadhi ya jamaa zangu wanaotumia tecno nimewasikia wakilia sana kwa ajili ya hilo tatizo na sio picha pekeyake hata documents nyingine pia zinapotea kama pdf, downloads zote na hata ukitumiwa audio,picha au video kwa whatsapp, kama hutojali tuhame tecno hapa nikipata tu pesa naiuza tecno na kuhama kabisa brand ya tecno, vipi kuhusu shida ya kukatika mawasiliano ukipigiwa au ukipiga simu ishawahi kukutokea pia? Maana tecno ni maradhi ya moyo kwakweli nimeflash simu lakini baada ya muda tatizo limerudi
 
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua napata hasara tuu. Ila nikichange storage ziwe kwenye phone zinakuwa poa ila kwenye memory card zinapata hilo tatizo. Je nn chanzo na je nifanyaje, maana nilijaribu hata ku format lkn wapi... Naomba msaada natumia Tecno C 8
671f0abbb977d693459e6ceb24743058.jpg

Heading ya thread yako kuna neno "najuta" sasa "unachojuta" ni kitu gani?

Badili hiyo memory card ina viruses.
 
badili memory card mkuu au fanya preferred storage iwe kwa phone,ILA Tecno na itel zinazingua Sana
 
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua napata hasara tuu. Ila nikichange storage ziwe kwenye phone zinakuwa poa ila kwenye memory card zinapata hilo tatizo. Je nn chanzo na je nifanyaje, maana nilijaribu hata ku format lkn wapi... Naomba msaada natumia Tecno C 8
671f0abbb977d693459e6ceb24743058.jpg
Mkuu huoni shida ipo mbele ya macho yako kabisa kuwa memory card mbovu...toa tafuta ingine original
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom