Simu yangu aina ya AT&T sipati Internet! Nifanyeje???

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Jamani.. Nimetumiwa zawadi ya simu hiyo hapo juu. Tatizo ni kwamba,access ya internet nimepata siku 3 tu za mwanzo kwa laini ya voda,halafu ikagoma.Hata ile alama ya 3G siipati. Nikaweka ya tiGO nayo ikagoma. Mpaka leo sina access. Pls nisaidieni.
 
Hakuna simu ya aina ya AT&T, hiyo ni kampuni ya simu kama ilivyo Voda.....
 
asante mkuu,imetengenezwa na hp,labda ndiyo maana imekuwa ni vigumu.. Na naogopa kuipeleka wasije wakashindwa kuiconfigure...
 
anyway.. Nimewapelekea voda,wakashindwa. Reason sijui itakuwa ni nini!
 
Hakuna simu inaitwa AT&T,pili taja model ya cm iwe rahisi kukusaidia kusema HP peke yake aisaidii,tatu net haipatikan bila kujiunga,piga cm kastama kero wakusaidia
 
hiyo simu huwezi pata huduma ya internet kwasababu mitambo yetu ni ya kizamani hiyo ni ya kisasa zaidi ni sawa na blackberry verizon zimetengenezwa kwa matumizi ya UK na USA tu hata ASIA kuna baadhi ya sehemu inakamata service ya internet na kwingine haikamati, tumia tu kupokela, kupiga na tukuma msg, ingawa unaweza ukaingia ktk FB basi ukaoma na kutuma even kudouwnload kwenye FB.
 
acha kuponda mitambo yetu, mbona yeye amesema alipata internet kwa mda wa siku 3, kama ingekuwa ni mitambo ya kishamba asingepata kabisa inavyoonyesha kuna katatizo kalitokea.
 
nimewapelekea voda wakachemka..ila kiukweli ni simu ya ajabu.. Hata operations zake.. Kuna aliyeniuliza web OS yake.. Ni 1.4 .....
 
acha kuponda mitambo yetu, mbona yeye amesema alipata internet kwa mda wa siku 3, kama ingekuwa ni mitambo ya kishamba asingepata kabisa inavyoonyesha kuna katatizo kalitokea.

ila huwezi kujua.. Kaniambia kule wao wanapata,au wanatumia 4G... Nikiangalia kwenye Nokia yangu tunatumia 3.5G.Labda ni kitu fulani.
 
Mkuu fanya hivi, jaribu kugoogle kila crue kuhusu simu yako kwanza ili ujue kwa uhakika simu yako ni gani na inatumia os gani?
Then kuanzia hapo itakuwa rahisi kujua lakini hivi unavyo bahatisha bahatisha kujua inakua ngumu kidogo
 
inaelekea kuwa AT&T wali set data configuration ki vyao hivyo unatakiwa ufute uweke za local providers
 
Back
Top Bottom