Simu ya mchina

Pia kuna nokla, oking, for me, nckia na nyngnezo

kuna moja hiyo nilisha kutana nayo ukiwa unawasha inaleta mapicha ya baba Rizi then inaanfika I love Ja××ya Ki×××te.
sasa sijui hii imeundwa bongo hapahapa

Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo

220px-Siemens_A50.jpg

220px-Siemens_C35.jpg
nazitafuta sana hizi simu ntazipata wapi jamani?

By aritoine

Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo

220px-Siemens_A50.jpg

220px-Siemens_C35.jpg

Dah... kuna mwenye hiyo dole gumba inayopiga mzigo aniuzie,

Mchicha tupa kuleee
ninako mkuu nilipewa az jft nilipopga vzur pepa la Necta phom two..........enzi zake full sana kitaa.

kuna moja hiyo nilisha kutana nayo ukiwa unawasha inaleta mapicha ya baba Rizi then inaanfika I love Ja××ya Ki×××te.
sasa sijui hii imeundwa bongo hapahapa

Ha ha ha ha... Nliwah kuskia kuwa znatengenezewa kwenye meli... Yaan chna wanachukua vfaa tuu..

kuna moja hiyo nilisha kutana nayo ukiwa unawasha inaleta mapicha ya baba Rizi then inaanfika I love Ja××ya Ki×××te.
sasa sijui hii imeundwa bongo hapahapa

hii sasa chuki binafsi hakuna ki2 kama hicho.

Similar Discussions

Back
Top Bottom