Simu ya Kiganjani ya JK..

Hivi muungwana haogopi kutukanwa na baadhi ya wanaompigia? Nadhani hilo limeshatokea. Pia haogopi kunaswa mazungumzo yake na halafu mpigaji akayatangaza, hasa yale yasiyo tija kwa taifa -- yaani pumba?
 
Back
Top Bottom