simu...simu..!!

kama mna upendo wa kweli hamuwezi kuzitumia cm zenu katika hali itakayo wanyima kuwa huru . kama uko huru ya nini ukatae kutoa simu yako kwa mwenzi wako????
hauko huru kuwa huru hutaenda bafuni na simu mkubwa.

Uhuru si katika kuombana simu tu na kutumia pamoja, uhuru pia upo kwa kila mtu anavyoenjoy na simu yake peke yake!nikienda kuoga simu ninaiacha peupe tu, siwezi ficha nikijua kuwa na mwenzangu ana busara hawezi kuikimbilia na kuanza kupekuapekua!
 
Labda nikuulize The Finest, unapomwomba simu mpenzi wako cha mno unachotafuta ni nini?

Lets assume simu yangu imeisha credit naomba ya kwake nitumie just to make a call lakini sasa mtu atakavyoruka mita mia hataki kutoa simu yake and to me my problem is kwanini mtu unakuwa na wasiwasi kama unajua you are doing the right thing with your phone nafikiri hata ukiombwa simu yako hautaanza kujiuliza mara mbili kuwa nimpe au lah! So it means there is a problem somewhere, Narudia tena unapoombwa simu yako kwanini ujiulize mara mbili kama unipie au lah? Kwanini uwe na wasiwasi kama hakuna tatizo?
 
sawa, basi kama umeomba kupiga simu, ni vema ukapiga na kumrudishia mwenyewe!mbona unapekua pekua na vitu vingine?hapo ndo tatizo, unatafuta nini?
 
Na wewe Butterfly hiyo avatar yako??????huko nyuma kwa mbali ......ni kufuli nyeupe au?(samahani kwa kuwa na macho makali ni kipaji mungu alichonipa)

Kweli mpwa hayo macho yako ni kipaji ulichopewa maana nashangaa unayoyasema kwenye hiyo avatar ya butterfly mimi siyaoni sasa sijui ni mimi mwenye matatizo kwenye kuzoom au ni picha yenyewe:confused2:
 
Na wewe Butterfly hiyo avatar yako??????huko nyuma kwa mbali ......ni kufuli nyeupe au?(samahani kwa kuwa na macho makali ni kipaji mungu alichonipa)

mimi mwenyewe huko nyuma sijioni, kazi kwenu watizamaji!!
 
kweli mpwa hayo macho yako ni kipaji ulichopewa maana nashangaa unayoyasema kwenye hiyo avatar ya butterfly mimi siyaoni sasa sijui ni mimi mwenye matatizo kwenye kuzoom au ni picha yenyewe:confused2:

mpwa wanitia aibu mpwaaa.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom