simu...simu..!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
wandugu.. kwann matumizi ya simu ni moja ya vyanzo vkubwa vya migogoro kwa wapendanao? na kwa nn wengi wao wanafanya maamuzi magumu ya kuvunja mahusiano kwa ushahid wa simu? Zisingekuwepo je? mapenzi yangedumu kwa kizazi chetu cha leo?
 
Kama mahusiano yamejengwa kwa vitu, yatamalizwa kwa vitu, na kama yamejengwa kwa utu yatasambaratishwa kwa utu
 
ni kweli bwana cm noma wangu miye nna mchumba wangu tulipotezana baada ya kumaliza kidato cha sita lakini cm ilituunganisha mi nikiwa udom yeye udsm na mpaka sasa ninaye lakini magomvi yetu makubwa huwa yanasababishwa na cm tu na wala si kingine
 
Hamjui maana ya simu. simu ni personal thing sasa inasababishaje mgombane wakati kila mtu ana simu yake? au mnatumia simu moja?
 
Achana na simu ya mwenza wako..mtakuwa mnagombana bure..
je unaamini kuna wakati baadhi ya msg zinaingia kwenye simu za watu kimakosa?
 
ni kweli bwana cm noma wangu miye nna mchumba wangu tulipotezana baada ya kumaliza kidato cha sita lakini cm ilituunganisha mi nikiwa udom yeye udsm na mpaka sasa ninaye lakini magomvi yetu makubwa huwa yanasababishwa na cm tu na wala si kingine

Ni lazima mgombane tu kwa sababu hicho ndicho kime/kinawaunganisha. If love binds you hamwezi kugombana, trust na kuthaminiana kutakuwa mioyoni mwenu.
 
Kila mtu amiliki simu yake, kwani cmu ya mtu ni kwa matumizi yake.
 
mtu akiombwa simu na mwenzi wake.... inatolewa kwa shingo upaande..!! :tongue:
 
wandugu.. kwann matumizi ya simu ni moja ya vyanzo vkubwa vya migogoro kwa wapendanao? na kwa nn wengi wao wanafanya maamuzi magumu ya kuvunja mahusiano kwa ushahid wa simu? Zisingekuwepo je? mapenzi yangedumu kwa kizazi chetu cha leo?

Ni utoto tu ndo unasumbua hapo!
 
Kama unajua simu yako unaitumia for the right reasons na hauna wasiwasi na kile unachokifanya kwa kutumia simu yako kwanini unapoombwa simu na mwenzako uitoe kwa shingo upande au kwanini mwenzako akigusa simu yako uwe mkali hapo lazima kuna tatizo kama naweza kukupa simu yangu bila tatizo kwanini napokuomba ya kwako unakuwa mkali au unakataa?
 
Hamjui maana ya simu. simu ni personal thing sasa inasababishaje mgombane wakati kila mtu ana simu yake? au mnatumia simu moja?

Hapo umenena Fixed Point, tuwe na discipline katika matumizi ya simu!It is very personal!kama kushare simu ndo ishara ya mapenzi, mbona vitu vingine ''hatusheí'', kama kuvaliana chupi n.k.
 
Nakubaliana na wewe lakini kwanini wengine wakiombwa simu zao wanakuwa wakali?

swala si kuwa wakali,issue ni kwamba usilazimishe kupewa simu!kama mwenzio amekataa kukupa simu yake basi heshimu maamuzi yake na wala usilamu hapo!hiyo ndo discipline ya matumizi ya simu!tatizo ni kwamba tumeelekeza mawazo kwenye kufumaniana tu!
 
Why and for what reasons? Hauoni kuwa kuna tatizo hapo? Tunaposema discipline inakuja pia ni jinsi gani unavyotumia simu yako and not the other way round
 
Wakati mwingine inakera sana , inajulikana simu ni personal thing, sasa unaweza kuta mwenzio anakuomba cm yako kisha anaanza ku peruzi kuangalia sms ulizotuma na kutumiwa missed calls, received calls na dialed calls, basi ni bora akimaliza hapo aendelee na yake, la yatafuata maswali kibao mwisho inageuka kero, so ili kuepusha yote ni bora uwe mkali tu asiguse cm yako!
 
swala si kuwa wakali,issue ni kwamba usilazimishe kupewa simu!kama mwenzio amekataa kukupa simu yake basi heshimu maamuzi yake na wala usilamu hapo!hiyo ndo discipline ya matumizi ya simu!tatizo ni kwamba tumeelekeza mawazo kwenye kufumaniana tu!

kama mna upendo wa kweli hamuwezi kuzitumia cm zenu katika hali itakayo wanyima kuwa huru . kama uko huru ya nini ukatae kutoa simu yako kwa mwenzi wako????
hauko huru kuwa huru hutaenda bafuni na simu mkubwa.
 
Why and for what reasons? Hauoni kuwa kuna tatizo hapo? Tunaposema discipline inakuja pia ni jinsi gani unavyotumia simu yako and not the other way round

Labda nikuulize The Finest, unapomwomba simu mpenzi wako cha mno unachotafuta ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom