Simu nzuri kwa internet inayouzwa bei nafuu sana.

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
Naomba msaada wa kujuzwa simu gani nzuri na imara inayouzwa bei rahisi ambayo ina huduma ya internet.Tafadhari naomba msaada huo maana simu yangu imedondoka jana na kupasuka display hivyo sina internet.
 
Bei nafuu= Tungo tata

Kisayansi au kimesabu japo fanya kadirio wewe kwako kaisi cha juu na kiasi cha chini cha huo unafuu wako ni shilingi ngapi . Unaweza kukuta wewe kwako unafuu ni 300,000- 4000000. na kwa mwingine ikawa ya 200,000- 300,0000.So mapendekezo yatakuwa tofauti

BTN
Jaribu kicheki Nokia Asha. soma uzi huu
 
ww unataka kusema x2 ndo ipojuu zaid ya e72. Acha hzo bana

Bei ukilinganisha na quality mkuu. Jamaa anataka cm nzuri kwa bei ndogo,hata mm namshauri achukue X2 maana e72 ni bora ila bei mkac. Bt X2 kali afu unaipata kwa 145K tu.
 
Asanteni sana wakuu kwa ushauri wenu mzuri.Natinga dukani kesho.
 
Nokia 6230c, unaweza uka minimize windo, kama ukiwa unatumia lets say opera mini, alafu msg ikaingia, unaweza uka minimize hyo opera, ukasoma msg yako na hta ku reply au hata kupiga sim, au hata kufanya ishu nyingine, then ukimaliza una maximize na kuendelea,
ziko around, 300,000 hadi 350,000
 
nimeipenda hii, coz natumia Nokia 2730c. Kwa hiyo nikishafungua Operamini mpaka ni exit ndio naweza soma txt au kupiga sim.
 
x2 sh ngapi

Aisee huwez amini Nokia X2 ni only 145,000(inategemea na duka bt most wanaishia 150-160 wackubamize sana bei ni 145k) aisee kwa m2 anaetaka 4ne bab kubwa yenye net kwa bei cheap HAKUNA KAMA HII,HATA NOKIA WALISEMA HILI.
 
nimeipenda hii, coz natumia Nokia 2730c. Kwa hiyo nikishafungua Operamini mpaka ni exit ndio naweza soma txt au kupiga sim.

hakuna ku exit kaka, una minimize kama vile unavyo minimize kwenye computa, then unasoma msg, au kupiga sim, kumbuka wakati huu unakua bado upo on line, then ukimaliza michakato una maximize, hapa unaweza ukawa unatumia messenger kama ebuddy na at the same time una brawse kwenye lets say opera, kwa hyo unaweza ukawa upo on line kwa siku nzima bila ku go off line, embu igugo pia uipate kiundani, au ukajipatie mzigo fasta manake nazo original zake ni adim kias flan
 
Back
Top Bottom