Simu kutoka Ikulu kuamua hukumu ya Lema

Na wasiwasi na upeo wako wa kufikiri kama umefikia mwisho hapo bora urudi facebook haraka
 
Hapa kuna ukweli mwingi tu. Hii Tanzania inaongozwa na mafya ambaye hata hajui anachokifanya. Mambo yanayotokea kwa sasa yamemprove kuwa failure wa kutisha. Kura za kuiba, haki hakuna, na uongozi haupo. Sasa kwa nini asitumie simu kumhukumu mtu asiye na kosa? Angalieni idadi ya wafungwa huko magerezani. Ni wangapi wako huko kwa makosa yao? Wengi wanatumikia vifungo vya mapolisi na vipongozi wengine wa serikali ambayo wanatamba mitaani.
Cha maana ni kuwa Arusha imemweka JK na serikali yake pembeni. CDM inakuwa Arusha na inajiendeleza kuwa mfano wa kuigwa kwa watanzania wote. JK kwa kukandamiza haki kiasi hiki anazidi kuwafungua macho watanzania na ndiyo maana CCM itamfia.
Historia itamhukumu. CCM ikishirikiana na mkewe CUF wanadidimia pamoja na pesa yote inayomiminwa hapo. Taifa linazidi kuwa maskini ili CCM itawale kwa garama yeyote ile. Lema alishatupwa pembeni ili Arusha itawalike. Kwa kitendo hicho JK bila kujua ndiyo kwanza kamfanya Lema aendelee kukubalika. Angani kama nchi kavu, kukubalika kwake kutaendelea kuwafungua macho watanzania wengi. JK hakujua Lema akikaa bungeni anafanya kazi nzuri, ila akikaa nje anafanya kazi kubwa zaidi ndiyo maana alidhani kwa kumtoa basi Arusha itakumbatia CCM. Kumbe ndiyo kwanza kaichimbia kaburi la wazi Arusha. Sasa kesho tuone JK usingizi wake umemfikisha wapi baada ya huu mda aliomweka Lema nje!
 
Inshallah,kesho tutasikia kitu,,,,,tuwe na subira,MUNGU YUPO NA WENYE KUSUBIRI
 
Mkuu kwanza kabisa acha kumdhalilisha jaji Ihewa kwa hoja zako za kitoto
Kwanini unawaandaa na kwaaminisha watu lazima Lema ashinde? Na ikiwa vinginevyo basi ni simu kutoka ikulu
Hivi Jaji Ihema ndiye huyo huyo anayeongoza kamati ya Nchimbi ya uchunguzi kuhusu kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi? Je baada ya hotuba ya Raisi Kikwete juzi, kuna haja yoyote ya kuendelea na huo uchunguzi? Je Kauli hiyo ya Raisi inatoa ujumbe gani kwa hiyo kamati na kwa msingi huo huo kama Raisi aliweza kusema aliyoyasema kabla ya ripoti ya hiyo kamati kutolewa, kwa nini huamini kuwa simu inaweza kupigwa kutoka Ikulu?
 
Na wewe UnatuLetea Story....Lema alisema hukumu yake Ilivuja kabla hajahukumiwa...hata hakupanic siku ya Hukumu yenyewe....

Na wewe sijui umetoka wapi unasema Simu ilipigwa blah blah...tuletee FACT hapa sio Kijiweni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom