Simu inapokuwa sisimua!!!

kumbe kuna watu wanakagua handbag ya mama? jamani matatizo mengine yakujitakia
Kwanini usikague? Unakagua ukikuta kuna always unajua kuna mfungo umeanza, unatafuta njia mbadala ya kudumisha mila..
 
Kwanini usikague? Unakagua ukikuta kuna always unajua kuna mfungo umeanza, unatafuta njia mbadala ya kudumisha mila..

yaani mpaka uikute ndio utajua ameanza? wengine hizo hazikosekani kwenye handbag zetu.
 
Udadisi hujengwa na usiri. We subiri na yeye aweke code kukutega tu ndio ujue kwa nini anataka mambo yawe wazi
 
Nashangaa inakuwaje unaficha nini ama kweli ndoa kazi bora nisiolewe
Kumbe hujaolewa? Thanks for the info. Hebu twende PM, nahitaji kimada wa kukava waifu anapokuwa kaenda kwenye unajimu au siku akiwa na kisirani.
 
Back
Top Bottom