Simu Imeokotwa Maeneo ya Mlimani City

tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
Simu imeokotwa, maeneo ya Mlimani City jana asubuhi ikiwa haina chaji. Leo imewekwa chaji, ina PIN kwenye maeneo yote haiwezekani kuiwasha.

Kwa aliye poteza simu maeneo ya Mlimani City siku za karibuni, ani PM nimuunganishe na aliyeokota, lakini anipe pia info zifuatazo:

1. Aina na rangi ya simu hii.
2. Mtandao unaotumika na hii simu.

Ikifika J5 hakuna mmiliki halali atayejitokeza, itapelekwa kituo cha polisi cha karibu.
Tafadhali muarifu na ndugu/rafiki.
 
Du! kama wabunge wetu na viongozi wa serikali wangekuwa na moyo huu nchi hii ingefika mbali, maana nilikuwa siamini kama bado kuna wasamalia wema wamesalia ndani ya nchi hii.
 
hamna lolote inawezekana inawezekana kuwa wameibiwa alafu mwizi akaangusha simu sasa wanatafuta mwizi wao,
 
Simu imeokotwa, maeneo ya Mlimani City jana asubuhi ikiwa haina chaji. Leo imewekwa chaji, ina PIN kwenye maeneo yote haiwezekani kuiwasha.

Kwa aliye poteza simu maeneo ya Mlimani City siku za karibuni, ani PM nimuunganishe na aliyeokota, lakini anipe pia info zifuatazo:

1. Aina na rangi ya simu hii.
2. Mtandao unaotumika na hii simu.

Ikifika J5 hakuna mmiliki halali atayejitokeza, itapelekwa kituo cha polisi cha karibu.
Tafadhali muarifu na ndugu/rafiki.

Usipeleke Polisi nenda kwa proivder wa simu eg (Tigo, Zantel Aitel , Voda) . waambie kwa kutumuie IMEI ya simu wacheki number gani jamaa alikuwa anawasilinao nazo mara kwa mara . wakiwapigia wenye hizo number wanaweza kumpata mwenye simu.

Mwenye simu akija atatoa detail zaidi hope mpaka hapo hakuna atakyeuw anajua rangi aina na hata number nyingine za simu znalizokuwa nasiliana nazo mara kwa mara na alizosave.

Kuliko Kupeleka polisi bora uitumie mwenyewe tu.
Na ni kituo gani cha polisi utaipeleka?
 
polisi?hawa polisi wetu?hapana kwakweli fanya kama uyo juu peleka kwa mitandao

ila una moyo mzuri sana,huu ndo utu
 
icnge kuwa na hzo pin code,wala msinge iona hii post.
Mijitu iliyokulia kwenye criminal family wala hupati tabu kuwatambuwa, njaa yako unadhani binadamu wote wako hivyo, jitu kama hili hata likiokota kitu cha abiria mwenzake Airport hawezi kukipeleka kwenye lost & found desk.
 
WEWE WASEMA, mimi mawazo yangu ndo hayo. Wewe unajifanya inosent kwel,roho yako unaijua mwenyewe.na yangu naijua mwenyewe. Maneno tena yakuandia hayana mchango kumtambua MATOLA ni mwaminufu au vipi.
 
Mwenye access na watu wa Radio awatumie message kuwa JF kuna simu imeokotwa, hii smartphone itakuwa na information nyingi sana
 
Back
Top Bottom