simu iliyoibiwa

watalamu naomba msaada wenu ni jinsi gani naweza kuilinda simu yangu na vibaka.??
hii simu unayo tayari au ndio unakusanya kusanya vihela ukanunue? reading btn ze lines, inaonesha hii simu imeasiri bajeti yako vibaya sana. jaribu kuifanyia maombi.
 
same message kama ile ya mwanzo inatokea. Sasa sijui kama ndo origino au ndo za kichina.

naanza kuwa na wasiwasi! Unatumia internet kwenye simu yako?, unatumia browser gani?. Na maanisha opera au ucweb au wap (phone browser).
 
hii simu unayo tayari au ndio unakusanya kusanya vihela ukanunue? reading btn ze lines, inaonesha hii simu imeasiri bajeti yako vibaya sana. jaribu kuifanyia maombi.

tatizo hapa siyo bajeti, ila nikutaka kufamu kilenisichokifahamu. Naona umenielewa siyo kivile
 
natumia operamini browres. And phone browres

ok! Go to wap.ucweb.com with your phone browser, than tuambie kama simu yako imetambuliwa? Kisha download apps utakayo elekezwa, kisha tuambie kama umeweza ku-install,
 
Mimi natumia Guardian Platinum Version (www.guardian-mobile.com ) Mwizi akibadili chip inatuma SMS kwenye assigned number (spouse, friend etc) plus IMEI number. VIle vile, unaweza remtely kufuta data zako zote ambazo hutaki mtu mwingine azi-acess. Ubnaweza ku-lock any software au softwares zote za simu zisifanye kazi mpaka uingize password eg SMS and Messaging. Ni bei rahisi tu.
 
kwanini ni nunue? Mbona zipo kibao za bure!.
 
ok! Go to wap.ucweb.com with your phone browser, than tuambie kama simu yako imetambuliwa? Kisha download apps utakayo elekezwa, kisha tuambie kama umeweza ku-install,

simu imetambuliwa na nimeinstall uc web bila shida!
 
Mh! Una uhakika simu yako ni original? kwani ni msg tofauti na niliyo itegemea. ok! tutaona mbele ya safari, install hii MOBILE SIGNER http://tiny.cc/1my87 halafu njoo utueleze nini kimetokea.

Kweli JF tumekamilika kila idara, nina imani hata rais ajae atatokea hapa jamvini, mkuu mimi simu yangu ni BlackBerry Bold 9700. tatizo limeanza juzi nikiiwasha inawaka aalafu inaonesha weupu tu yaani haifunguki moja kwa moja, lakini lakini nikichomeka cable yake kwenye lapto yangu inaonekana kwenye computer, yaani inaisoma, msaada mkuu hapo nifanyeje? na cd ya hii simu ninayo nimeinstall kwenye pc yangu.
 
Mh! kwenye mambo ya BB bwana me sina cha kusema, subiri waje wataalam wakusaidie. ni simu ambazo siriziki na utendaji wake mbele ya simu za symbian kuanzia s60v3 os91,2,3,4 and 5 etc, mi naona hizi simu ziko juu kiutendaji kuliko BB, haya ni mawazo yangu tu!.
 
Ni kweli! lakini kwakutumia prog hizi kama inavyo takiwa kuna asilimia 50 ya kupatikana simu ilioibiwa/potea. simu iliowekwa proggram hii haimletei usumbufu wowote mwizi/alieiokota, baada ya kuweka tu sim card nyengine hii prog ndio inaaza kufanya kazi, kitu cha kwanza ile icon ya prog ina disappear halafu namba ya simu ilio wekwa kwenye simu yako inatumwa kwako bila yeye kujuwa kwamba simu inatuma sms outomatic. so hatakuwa na sababu ya ku-iformat/flash. kuna mtu nilimuwekea program hii kwenye simu yake N70, yeye ilimpotea haikuibiwa, simu yake ilipatikana kwa msaada wa polisi.

mkuu nimekupata ila sms zitakapotumwa lazima utanipigia cm kuniambia cm unayotumia ni yangu na mm nitakapoona huo usumbufu mojakwaamoja nitalitatua hilo tatizo simple tu
 
Kweli JF tumekamilika kila idara, nina imani hata rais ajae atatokea hapa jamvini, mkuu mimi simu yangu ni BlackBerry Bold 9700. tatizo limeanza juzi nikiiwasha inawaka aalafu inaonesha weupu tu yaani haifunguki moja kwa moja, lakini lakini nikichomeka cable yake kwenye lapto yangu inaonekana kwenye computer, yaani inaisoma, msaada mkuu hapo nifanyeje? na cd ya hii simu ninayo nimeinstall kwenye pc yangu.

mkuu itakuwa ni display kmeo kama inafunguka na inasoma kwenye pc kwa staili hyo ataukipiga cm au ukipigiwa utapatikana kama upo dar ni pm
 
mkuu nimekupata ila sms zitakapotumwa lazima utanipigia cm kuniambia cm unayotumia ni yangu na mm nitakapoona huo usumbufu mojakwaamoja nitalitatua hilo tatizo simple tu

Sitakupigia simu. Ntaenda polisi kuchukua RB ndio watakutafuta kwa sim card uliyoregister kwa jina lako.
 
Sim yangu ukimpigia mtu hata ukipigiwa haipatikani, ila nimeambiwa inatakiwa niiflash, sasa swali, je? Siwezi kuiflash mimi mwenyewe, maana laptop ninayo, cd yake ya software ninayo, na nina full time internet access. Naomba msaada kuhusu hilo, au nikagawe riziki kwa wananchi wenzangu, kwa gharama ya kuflash? naomba msaada wadau.
 
Back
Top Bottom