Simu iliyoibiwa

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Naombeni msaada wakuu. Nimeibiwa simu yangu aina ya SAMSUNG GT B3410. Nina risiti yake na warranty. Je, kuna uwezekano wa kui-track iwapo hewani? Thanks.
 
Samsung nyingi za siku hizi zina built in feature iitwayo mobile tracker,ungekuwa umeienable na kuset ingefanya kazi ya kukutumia namba ya mtu atakayeitumia simu yako,vinginevyo uwezekano ni kama haupo
 
Yaa kama ungelikuwa ume enable service ya mobile tracker sasa hivi ungeishampata aliyenayo maana ingeku -alert kwenye alternative number.
 
Mdau vp kuhusu sony Ericsson? naweza pia enable hiyo service? and how? maana nina simu yangu nzuri sana nimeletewa zawadi kutoka nchi za wa2 , ningependa kufanya ivo if possible
 
Mkuu ulikuwa ume enable mobile tracker?au,uliponunua uliisajili samsung(kutuma namba ya imei kwenda 15685)?
kama hukufanya hivyo itabidi upige help line ya samsung.kwa bongo namba ni:0689000009,0759999999,0715033033.Au tuma neno MSAADA nafasi, swali lako,kwenda 15685.naamini watakusaidia.Isipofaa nitapost vituo vya msaada ukawa face.
Sijui nimekusaidia?
 
Nami nimenunua simu mpya ya samsung mpya, nimeshatuma ujumbe huo, tusaidiane je unapaswa kupata jibu au kama hujajibiwa unafanyaje?
 
Haupati jibu ila yakitokea matatizo kama haya au simu ikizingua ukirudisha kwa shop inasaidia sana.au ukishinda droo yao wataku sms,au wakigundua model yako ina tabu itakuwa rahisi kukuambia uwarudishie.
 
Ahsante sana kwa kutuelimisha
 
if possible jarib kwenda cyber crime ofisi ya polisi dsm...............utapewa barua na kwenda katika kampunin yako ya simu ambapo watakuonesha location ya simu yako na namba ambayo inatumika kwa sasa

ki ukweli, ukiibiwa simu bado inaweza kuonekana na mitambo ya simu ya kampuni yako hata kama mwizi akibadili namba.......pia wanaona location yake na kutambua namba mpya inayotumika na watu anaowasiliana nao , ambao ukianza nao utampata mwizi wako na simu pia.
 
mkuu yakwangu ni samsung D780 je ntaenable vp mobile tracker, menu book yake nlishatupa siku nyingi!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu nashukuru sana kwa majibu yenu. Nilikuwa mbali kidogo na mtandao. Hiyo feature ya mobile tracker sikuijua kabla. Simu hiyo niliinunua pale mlimani city na ndipo nilipopata warranty ya mwaka mmoja. Nitaanza na hili la kupiga simu help line kama alivyosema mkuu Charles1990 na kama ikishindikana ndipo nitakwenda kwa jamaa wa cyber crime. Nashukuru sana wakuu, tuendelee kujuvyana kama kuna lolote zaidi.

Nawasilisha
 
Mkuu ulikuwa ume enable mobile tracker?au,uliponunua uliisajili samsung(kutuma namba ya imei kwenda 15685)?
kama hukufanya hivyo itabidi upige help line ya samsung.kwa bongo namba ni:0689000009,0759999999,0715033033.Au tuma neno MSAADA nafasi, swali lako,kwenda 15685.naamini watakusaidia.Isipofaa nitapost vituo vya msaada ukawa face.
Sijui nimekusaidia?

je kwa nokia N 82 naweza ku enable tracker msaada
 
Mkuu ulikuwa ume enable mobile tracker?au,uliponunua uliisajili samsung(kutuma namba ya imei kwenda 15685)?
kama hukufanya hivyo itabidi upige help line ya samsung.kwa bongo namba ni:0689000009,0759999999,0715033033.Au tuma neno MSAADA nafasi, swali lako,kwenda 15685.naamini watakusaidia.Isipofaa nitapost vituo vya msaada ukawa face.
Sijui nimekusaidia?

Mkuu leo nimejaribu kuwapigia siku nzima hawapatikani. Labda kama utanisaidia hivyo vituo nifike physically. Pia imei ninayo. Sasa sijui kama naweza kutumia simu nyingine kuisajili hiyo iliyoibiwa?
 
Back
Top Bottom