Simu haisomi network

rapzz

Member
Oct 21, 2016
12
16
Habari wana JF...simu yangu ni smartphone techno ....niliihukua. dukan miez 6 iliyopita lakiini sasa hivi imeanza tatizo la kupoteza...network yan inasoma mtandao kwa shida wakati mwingine nipo mjini lakin haijai network ...yan network inajaaa badae kama dakika 20 zinapotea bar za network...tatizo lake ni nini. Make cikuwah iangusha wala nini bado nzima...
Je ¡¡ nini cha kufanya au nifanyeje niwezw ilekebisha katika hali yake ya kawaida..??
Msaaada tafadhl
 
Kwa vyovyote umegusa pale kwenye automatic search mode ya network ukaweka manual
 
Back
Top Bottom