Simu feki za kenya zinaingia kwa fujo tanzania

Mngetuambia simu fake zenyewe zikoje af ni Watanzania wangapi wanauwezo wa kununua simu original?
 
Hapa mjini kuna maziwa fake, tairi za gari fake, dawa za kupunguza kama sio kuongeza makali fake, serikali ya muungano fake, viongozi na wizara zao fake, yani tumekamilika. Ukija na original zako zitakuozea.!
 
Mngetuambia simu fake zenyewe zikoje af ni Watanzania wangapi wanauwezo wa kununua simu original?
Ukiona simu yako inaanza kujichaji hata hujachomeka chaja jua ni fake! Ukiwa na simu ikiita hadi mtaa wa pili wanasikia jua ni fake! Vilevile kama simu yako inaitwa Nokio, Mokia, Sangsung, Drackberry, Ai phone etc
 
Back
Top Bottom