Simu alikuwa nayo mama sharoni!

Ni wewe, kumbuka mwanakili amesema wenyewe ni kawaida yao...

Ndevu kwa wengine ni mzigo,
Kwa wengine suna,
Kwa wengine uchafu,
Kwa wengine ni fasion.
Then unaweza tafta kundi la kujiweka hapo then tuendelee na story.
 
Kuhusu jina halina shida. Kanisevu jina zuri tu.

siku hizi ni wajanja sana, hilo jina anaweza akawa anasave akiwa na wewe tu, ukitoka aidha akusave anaijua namba yako kwa kichwa au anakusave kaka ........ (sisemi huyo wako)
upande issue yako; huitaji kuchukua uamuzi wowote kwa sababu hujui alicho sema ni kweli au si kweli.
lakini anza kufuatilia
 
Ndevu kwa wengine ni mzigo,
Kwa wengine suna,
Kwa wengine uchafu,
Kwa wengine ni fasion.
Then unaweza tafta kundi la kujiweka hapo then tuendelee na story.
Kweli kabisa...tunazungumzia masharon kuchukua simu wenyewe wanatutoa nje ya mada kwa kushangaa simu kupigwa usiku....tuendelee mwaya.
 
siku hizi ni wajanja sana, hilo jina anaweza akawa anasave akiwa na wewe tu, ukitoka aidha akusave anaijua namba yako kwa kichwa au anakusave kaka ........ (sisemi huyo wako)
upande issue yako; huitaji kuchukua uamuzi wowote kwa sababu hujui alicho sema ni kweli au si kweli.
lakini anza kufuatilia

Nashukur kaka.
 
soemtimes ni utumwa kumpigia mwenza hata usiku wa manane. kama mchana mmeongea haitoshi tu?
unamchunga au? naona kama ni ubabe fulani vile.mm binafsi i hate kupiga au kumpigia mtu simu usiku labda kuwe na dharura
acha hizo,kama humwamini mfungie landline kabisa tena iwepo chumbani,afu watu kama nyie ni wezi wakubwa ndio maana hamuwaamini wenza wenu
tuige ya wazee wetu mapenzi yao ni ya kweli na hakukuwa na simu waliamininiana kwa dhati sisi vijana kigeugeu kisa tuna mitandao
kama umesoma ukaelimika kwani kuna wasomi wasioelimika nakushahuri acha kupiga simu usiku eti mda wowote heshimu usingizi wa mwenzio
na mthamini kwa kutomsumbua usiku, ingekuwa nchi za wenzetu angekuishtaki kwa kumpigia pigia simu usiku hata kama ni mumeo au mkeo.
 
Pole kaka..kama ni mara ya kwanza waweza muonya tu,asirudie tena...kama huna amani kabisa basi chonga mpango na majamaa wa mtandao wake um'trace' aliyekua anampigia muda.japo hii ni ngumu na dalili ya wivu uliopitiliza inaweza saidia...kama vp mnunulie simu nyingine na line ya peke yako(heheh)umpigie na apokee muda wowote...yote ya yote mapenzi hayaamuliwi na tukio moja tu,nadhani busara itumike zaidi badala ya hisia katika kutoa maamuzi
 
soemtimes ni utumwa kumpigia mwenza hata usiku wa manane. kama mchana mmeongea haitoshi tu?
unamchunga au? naona kama ni ubabe fulani vile.mm binafsi i hate kupiga au kumpigia mtu simu usiku labda kuwe na dharura
acha hizo,kama humwamini mfungie landline kabisa tena iwepo chumbani,afu watu kama nyie ni wezi wakubwa ndio maana hamuwaamini wenza wenu
tuige ya wazee wetu mapenzi yao ni ya kweli na hakukuwa na simu waliamininiana kwa dhati sisi vijana kigeugeu kisa tuna mitandao
kama umesoma ukaelimika kwani kuna wasomi wasioelimika nakushahuri acha kupiga simu usiku eti mda wowote heshimu usingizi wa mwenzio
na mthamini kwa kutomsumbua usiku, ingekuwa nchi za wenzetu angekuishtaki kwa kumpigia pigia simu usiku hata kama ni mumeo au mkeo.

Ulianza vizuri,ukaja pumba then ukaharb kabisa.
Mapenz yako kwa mpz wako yana follow izo tips ulizonipa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom