Edwin Chapa
Member
- Jun 3, 2011
- 54
- 12
Nauza simu aina ya IDEOS with Google kwa kiasi cha sh. Laki moja inatumia line zote napatikana kwa namba 0713542446
Mi nina elf 50 mkuu,
Mkuu mi nipo mza,je waweza kuituma kwa bus la allys niicheki then tuongee biashara?
we binti wewe! Angesema mia na hamsini wewe ungetaja dau la bei gani?
Mmmh!je hyo Elfu Hamsn na nin kngne?
mi hata angesema milioni ningelia na hamsini.
all the best hus, akiingia mkenge kachukue maana hako ka-mobitel ni kazuri, katakusaidia sana.
hahahahaha! Mi sikajui hata kanafananaje. Jamaa mwenyewe mjanja mjanja. Unaona hapo chini anauliza elf 50 na nin kingne. Lol.
Mi nina elf 50 mkuu,
hahahahaha! Mi sikajui hata kanafananaje. Jamaa mwenyewe mjanja mjanja. Unaona hapo chini anauliza elf 50 na nin kingne. Lol.
Mkuu mi nipo mza,je waweza kuituma kwa bus la allys niicheki then tuongee biashara?
we dada una maanisha 50,000/=?
dada mbona umestuka. Ongea naye vizuri akueleze hicho kingine ni kinini!. Pengine atapenda hicho kingine akupe simu bure.