simple wedding

yawezekana mpambe keshaoa ndo maana ana pete, na kama ujuavyo cheti cha ndoa akishachukua bwana harusi anamkabidhi bestman...

afrodenzi angekuwa tayari amefunga ndoa ya namna hii angeyafahamu haya, ila pete uvaliwa kwenye kidole cha mkono wa kushoto na sio kulia!! Na hiyo karatasi yaweza kuwa ratiba tu kwani cheti hakiko hivyo kama hii ndoa imefungwa Bongo.
 
Acheni kunisakama basi
Khaaa mi nnavaa kwenye vidole vyote..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom