Elections 2010 Simpendi raisi wangu..

tuliambiwa ni CHAGUA LA MUNGU! Mikoa ya kusini walikuwa wanamshangilia wanasema NYERERE KARUDI! huyoo JK walimtaka wenyewe sasa waiona NGONDO wapiga KELELE! JK huyo mama huyo!
 
Juzi katoa ahadi nyingine kali kwamba tatizo la maji kwenye kaya mbalimbali nchini litakuwa ni historia ifikapo 2013. Kama sio FIX nini sasa.
 
Back
Top Bottom