Simon Matheri Ikere: Handsome aliyeitikisa Kenya....!

Bora walivyo mmaliza jamaa alikuwa hatari kwa uslama wa raia! Ila na muonea huruma mkewe na watoto wale sita,sijui ata waleaje. Funzo kwa vijana wote wasiopenda kushughulika na kazi halali na kujiingiza kwenye magenge yanayo hitimisha maisha yao.polisi wanapata lawama kwa kumu ua huyu mtu lakin wakenya walipata amani baada ya kusikia taarifa za kifo cha huyu jambazi. Mtu mmoja alioneka kuwakosesha amani maelfu ya wakenya.
 
Natafuta majambazi walioachana na kazi hiyo, nifanye nao interiew na kuziweka habari zao hapa....... mwenye link ani - PM ...........
mkuu ukitaka kupata hao watu inabidi uende moshi kule ndo kuna masterling wa ukweli.....
 
Huwa wanaweza kutoa siri zao kweli? si watohofia kukamatwa !lol
Ninayo stori mmoja ya kijana aliyekuwa kibaka wa kundi la KIBOKO MSHELI, enzi hizo, nitakuja kuiweka hapa siku zijazo.
 
Ninayo stori mmoja ya kijana aliyekuwa kibaka wa kundi la KIBOKO MSHELI, enzi hizo, nitakuja kuiweka hapa siku zijazo.

Mh subiri kwanza wakuruhusu hao KIBOKO MSHELI, maana wasije wakakasirika sili zao kuwa nje
 
sasa walikuwa wanalalamika nini wale tuliowaua moshi waliokuwa wanaiba NMB, tatizo la wakenya hasa wakikuyu kama huyu ni majambazi ajabu, wanawezafanya lolote alimradi wapata pesa....baada ya yale majambazi moshi kuuawa wakenya walilalama sana kwamba tz hatuna rule of law
 
Mada nzuri ahsante ndg na tuna mengi ya kujifunza ktk tukio hilo,malipo ya dhuluma cmema,na jambu kuu wapenzi 2cangalie tulipo anguka tuangalie tulipojikwaa mcngi wa familia bora unaanza na uchaguzi mzuri wa mke na mume bora,tarajia hasara ukipanda mbegu ktk jangwa,ww mwanamke na mwanaume chagua mke na mume mwema ili watoto wawe wema,kwa watoto wake unategemea kwa mazingira hayo ya wizi wa baba nirahisi nao kuiga,wazazi ndo first agency ya socialization,na huyo mke hanaumakini kattika mapenzi ataishi vp na mtu asiejua hata jina la pili la mumewe na mpenzi yapo wapi ikiwa mwanaume anaingia na walet mpaka chooni?hapo mapenzi 0,dunia mapito tucjieke katika mazingira ambayo tukifa watu wafurahie băada ya huzuni,tuache sifa njema duniani,wapenzi ili ni funzo na mawaidha tosha,tucwaeke wazazi katika mazingira ya kujuta na kuona haya kwa uwepo wetu watoto.
 
Hapa suala la malezi linahusika sana...

Baba yake asingesababisha huyu kijana kufungwa tena kwenye jela ya majambazi sugu kule Kamiti, huyu kijana asingepitia haya maisha ya ujambazi; baba mtu ndie wa kulaumiwa kwa maamuzi yake mabaya yaliyoharibu maisha ya mwanae.
 
Na mkewe alifariki miaka ya juzi, its said she supposedly fell on a pit latrine.. Talk about curses, kuua watu kumi na wanane si mchezo, taking someones life can haunt you and your family for generations, sasa hao watoto wake ni yatima, na nina uhakika jamii ya matheri haitawachukuwa, damu mbaya eti. Shukran kwa mtoa mada.
 
Awwww poor soul.....nadhani her state of mind was in bad shape after learning all about her husband..
 
sasa walikuwa wanalalamika nini wale tuliowaua moshi waliokuwa wanaiba NMB, tatizo la wakenya hasa wakikuyu kama huyu ni majambazi ajabu, wanawezafanya lolote alimradi wapata pesa....baada ya yale majambazi moshi kuuawa wakenya walilalama sana kwamba tz hatuna rule of law
mkuu ishu ya wale vijana ilikua lazima walalamike...wale jamaa walikua kumi na nne na walikamatwa moshi mjini wakiwa guest house mbali mbali..wakaenda wakawekwa sehemu moja then wakauawa wote kumi na nne inasemekana walikua wameplan kuvamia banki ya exim na pia kuvamia na kuwatoa wakenya wengine walioshikiliwa gereza la karanga ila kuna mtu aliuza ishu wakakamatwa....polisi walitangaza kuwa walikua wanarushiana risasi
 
Ni wale walioiba CRDB Azikiwe nini?
Maana ilisemekana kuwa ile ilikuwa style ya kikenya , wakishirikiana na wa TZ
 
Ni wale walioiba CRDB Azikiwe nini?
Maana ilisemekana kuwa ile ilikuwa style ya kikenya , wakishirikiana na wa TZ
mkuu sidhani wale wa azikiwe walikua sio violent hata kidogo naweza kusema style yao ni ile ya wale walioiba bilioni tano....pale NBC moshi mjini hawa vijana kumi na nne walikua ni wadogo na walikuja na mama mmoja ambae ana duka la silaha nairobi....wengi wao walikua hawajulikani sana Nairobi..moja ya matukio yaliyowaacha watu hoi ni kuwa baada ya kuwaua na kuwazika ndugu za baadhi ya hao jamaa walikuja na kuiba maiti zao the same night...na kutokomea nazo nairobi
 
Alikuwa handsammm huyu Simon!!
mhhhh mahandsome wana MAMBOOO...............eenh simaanishi wote jamani
 
Back
Top Bottom