Simbo Ntiro - Sad News

I never met him but he seemed to have contributed a lot in ICT and community in general. My deep condolences to friends, family and this community, God loved him most, May he rest in peace, lets just thank God for everything...!
 
Poleni wafiwa na wote mlioguswa na msiba huu.
May his soul rest in peace, my thoughts and prayers are with you.
 
We have lost one useful contact for the Tanzania Online Community and ICT for Development champions across the globe.

You will be terribly missed Simbo

Pole kwa familia, David and all the friends.
 
Hakika ni majonzi makubwa kumpoteza mpenda maendeleo ya kweli kama Mr. Simbo Ntiro.

Mpaka mauti yanamfika Simbo alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa Kitengo cha ICT cha TPN (Tanzania Professionals Network).

Pamoja na mambo mengi mazuri aliyoyaleta ndani ya TPN, yeye na Kitengo kizima cha ICT cha TPN waliwezesha TPN kuwa na tovuti yake pamoja na Jarida Tovuti. Pia baadhi ya michango yake ilisaidia sana kufanikisha Semina za mara kwa mara za TPN.

Moja ya ndoto alizokuwanazo Simbo ni pamoja na kufanya juhudi za kuhakikisha kuwa kuna uhifadhi wa misitu katika Mlima Kilimanjaro. Pia alipenda kuona siku moja Wanataaluma wakiungana na kuendesha miradi mikubwa ya kiuchumi. Pia alipenda kuona watu wengi zaidi wanapata elimu ya juu na kuna mengi alishauri.

Katika kipindi hiki kigumu, kwa niaba ya uongozi mzima wa TPN, wanachama na wapenzi wote wa TPN, tunapenda kutoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Simbo na wadau wote wa maendeleo.

Sote tu katika njia moja. Tulitoka kwa mavumbi, tutarudi kwa mavumbi

Sanctus Mtsimbe, TPN
 
How may I know God's plan for my life for 'am but a mortal. What I am sure of is 'am at His Mercy. RIP Simbo Ntiro for we are but a few steps behind you.
 
NAMWOMBA MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE PAHALA PEMA PEPONI. AMEN.

POLE kwa WANAFAMILIA WOTE.

SteveD.
 
RIP Mr. Mtiro we will get there at our own time! we will meet you there.
 
Simbo will be sorely missed in the ICT community . The number of times I sat with him he was always a man full of vision especially when it came to ICT issues . My condolences to the family , friends , and all members of the ICT community.
 
Mungu aiweke roho ya kaka yetu mpendwa mahari pema peponi. raha ya milele umpe e bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. sote hiyo ndio njia yetu.

Poleni sana wanafamilia na wana ICT wote
 
RIP Brother

Thanks for the insights that has made us understand who Simbo was.Indeed we are going to miss a very important citizen of this country.It is my hope that some, if not all of us, will carry on the good work that he has left unfinished.May THE ALMIGHTY REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE and may his family gain strength as they morn the demise of their loved one.AMEN!
 
hakika Ni Majonzi Makubwa Kumpoteza Mpenda Maendeleo Ya Kweli Kama Mr. Simbo Ntiro.

Mpaka Mauti Yanamfika Simbo Alikuwa Ni Makamu Mwenyekiti Wa Kitengo Cha Ict Cha Tpn (tanzania Professionals Network).

Pamoja Na Mambo Mengi Mazuri Aliyoyaleta Ndani Ya Tpn, Yeye Na Kitengo Kizima Cha Ict Cha Tpn Waliwezesha Tpn Kuwa Na Tovuti Yake Pamoja Na Jarida Tovuti. Pia Baadhi Ya Michango Yake Ilisaidia Sana Kufanikisha Semina Za Mara Kwa Mara Za Tpn.

Moja Ya Ndoto Alizokuwanazo Simbo Ni Pamoja Na Kufanya Juhudi Za Kuhakikisha Kuwa Kuna Uhifadhi Wa Misitu Katika Mlima Kilimanjaro. Pia Alipenda Kuona Siku Moja Wanataaluma Wakiungana Na Kuendesha Miradi Mikubwa Ya Kiuchumi. Pia Alipenda Kuona Watu Wengi Zaidi Wanapata Elimu Ya Juu Na Kuna Mengi Alishauri.

Katika Kipindi Hiki Kigumu, Kwa Niaba Ya Uongozi Mzima Wa Tpn, Wanachama Na Wapenzi Wote Wa Tpn, Tunapenda Kutoa Pole Sana Kwa Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wa Simbo Na Wadau Wote Wa Maendeleo.

Sote Tu Katika Njia Moja. Tulitoka Kwa Mavumbi, Tutarudi Kwa Mavumbi

Sanctus Mtsimbe, Tpn

Thanks For The Insights Bro!
Be Blessed!
May Simbo's Soul Rest In Eternal Peace Amen!
 
RIP Bro' Simbo.....

Ndugu, jamaa, marafiki na wote wanaoguswa na msiba huu poleni sana.....

Mwenyenzi Mungu alitoa, naye ndiye ametwaa... Jina la Bwana Lihimidiwe!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom