SimbaSC Mabingwa wa Kwanza wa Kombe la Urafiki 2012-13

Zawadi ni milion kumi na mshindi wa pili milion tano, hiyo hela sio ndogo kama unavyofikiria, utaonaaje hiyo ndogo kwa mechi tano wakati Yanga mmecheza mechi 26 za ligi kuu mkaambulia milion 17 tu na kuweka dreva wenu rehani na mkashindwa kumkomboa na faini kibao walizopigwa wachezaji wenu hivyo mkilipa faini zote mnaweza kujikuta mnabakiwa hata na milioni nane tu ambayo ni ndogo ukilinganisha na tuliyopata sisi jana.

vp mjombaa ulisahau mlivo shindia ugali na maziwa kule sudan mwenyekit akalala mapokez kwa kukosa buku5 ya gest,. Njaa mbaya sn uneza huzuria kichen pati japo toto la kiume
 
Yanga mnashangaza mnapoanza kuyaponda hayo mashindano ya ujirani. Nilisoma pia makala ya Edo kumwembe kwenye mwanasport akiyaponda eti waandaji wamepungukiwa fedha wakaamua kuyaandaa ili kujikusanyia fund. Hii inashangaza sana. Labda nyie ni mashabiki wa soka msiojua soka.
Hiki ni kipindi cha maandalizi ya msimu ujao wa ligi pamoja na mashindano mengine ya kimataifa na vilabu vyote vya soka viko katika maandalizi. Hivyo mashindano ya ujirani mwema ni mojawapo tu ya maandalizi hayo. Mbona hata ulaya mashindano kama hayo yapo? ni lini ulisikia mashindano ya Emirates cup yanashutumiwa eti ni kwa ajiri ya kukusanya fedha? Mbona timu kubwa kama Arsenal, AC millan etc wanashiriki?
You are loosers!!
 
1. Hapo kwenye red sentensi hiyo itakuwa na mantiki tu endapo ZFA watakuwa wana'run short of fund kila mwaka na kuendelea na technique hiyo ya kutafuta fedha kwa kuandaa Kombe mbuzi na kuzialika team kubwa ie Yanga,Simba na
Azam ili wapige hela kama walivyopiga this time...lkn kama mipango ya Rais mpya wa ZFA itakuwa endelevu na kuifanya ZFA kuwa na uwezo wa kusimama vizuri utaweza kuiita Simba kama mabingwa wa kwanza na wa mwisho wa hilo kombe la urafiki sijui ujirani ksbb haitakuwepo tena,this I can assure U Mkuu.
2. Kitu pekee ambacho mnaweza kuendeleza kuweka record ni kukusanya hayo makombe Mbuzi sijui Mapinduzi Cup,sijui Ujirani wa karibu,sijui Mo Cup,Kinesi Cup n.k huku mkijipa moyo kuwa eti ni mwanzo mzuri...kalaghabaho
2.

kuna makombe sita ya kagame kwenye trophy cabinet.
 
vp mjombaa ulisahau mlivo shindia ugali na maziwa kule sudan mwenyekit akalala mapokez kwa kukosa buku5 ya gest,. Njaa mbaya sn uneza huzuria kichen pati japo toto la kiume

zile ni njama za mwenyeji, pale hata uwe na zile hela za uswis hununui kitu maana hutakiona. Vipi mlishamlipa minziro malimbikizo ya posho?
 
zile ni njama za mwenyeji, pale hata uwe na zile hela za uswis hununui kitu maana hutakiona. Vipi mlishamlipa minziro malimbikizo ya posho?

minziro ashalipwa anakula maisha jangwani, vp hela ya rambirambi kwa mafisango hata nusu mmepeleka
 
vp mjombaa ulisahau mlivo shindia ugali na maziwa kule sudan mwenyekit akalala mapokez kwa kukosa buku5 ya gest,. Njaa mbaya sn uneza huzuria kichen pati japo toto la kiume

Hapa hata sijaelewa maudhui ya bandiko lako ni nini? au unataka kukumbushia tu yaliyotokea Sudan? maana mimi hakuna sentensi yoyote ambayo nimesema Simba tuna hela na ndo maana hata hiyo million kumi ambayo nyie mliona ni ndogo sisi tumejitahidi mpaka tumeichukua.

Nyie ambao mnajidai mna hela sasa Manji akinuna tu wachezaji lazima wapewe posho elfu kumi kwenda kucheza na Toto na Kagera Sugar.
 
minziro ashalipwa anakula maisha jangwani, vp hela ya rambirambi kwa mafisango hata nusu mmepeleka

Hapo kwenye red usinikumbushe,napata uchungu sana kuona wafiwa wanadhulumiwa waziwazi namna hii,Simba kweli watu wabaya sana.....Okwii,Kanu Mbiyavanga,Lino Lusombo sijui Lisumbu,Mussa Mude hilo ni jambo la kujifunza,hapo Msimbazi mtathaminiwa mkiwa hai tu,mkifa hata vifaa vyenu vya mazoezi mlivyokuwa mnatumia vitadhulumiwa, hao ndo Simba bwana wengine photocopy
 
Okwi si mlisainisha na kacheza mechi na Ruvu.Deni la hoteli Arusha na pilau ya hitima mmelipa.Goli mkono zitawauma
sana hao waliowachabanga tano nunge ndio Simba wengine photocopy.
 
1. Hapo kwenye red sentensi hiyo itakuwa na mantiki tu endapo ZFA watakuwa wana'run short of fund kila mwaka na kuendelea na technique hiyo ya kutafuta fedha kwa kuandaa Kombe mbuzi na kuzialika team kubwa ie Yanga,Simba na Azam ili wapige hela kama walivyopiga this time...lkn kama mipango ya Rais mpya wa ZFA itakuwa endelevu na kuifanya ZFA kuwa na uwezo wa kusimama vizuri utaweza kuiita Simba kama mabingwa wa kwanza na wa mwisho wa hilo kombe la urafiki sijui ujirani ksbb haitakuwepo tena,this I can assure U Mkuu.
2. Kitu pekee ambacho mnaweza kuendeleza kuweka record ni kukusanya hayo makombe Mbuzi sijui Mapinduzi Cup,sijui Ujirani wa karibu,sijui Mo Cup,Kinesi Cup n.k huku mkijipa moyo kuwa eti ni mwanzo mzuri...kalaghabaho
2.

nasubiri club bingwa maana karume bado ipo kibongobongo hili sina habari nalo kwani ya ligi kuu yataendelea tu..
 
Mkuu kama unapata uchungu wahi chumba cha uzazi.

Sina uwezo tu,ningekubandikia hali ya sakata zima la Mafisango(R.I.P) ufe uliowaacha nyuma wadhulumiwe rambirambi zako au ufiwe na unayemtegemea kwa kila kitu hlf watu wakudhulumu rambirambi za mfiwa wako zote ndo ungejua kama ni uchungu wa kuingia chumba cha uzazi au vp...
 
Unatoa mapovu kwa lipi.Ubalozi wa Jamhuri ya Kongo uliwasiliana na Simba na kuwashauri wasitishe kutoa rambirambi
mpaka itakapokuwa established nani ana haki nayo .Kwani kuna 3 parties zinazogombea haki hiyo.Usilolijua ni usiku wa giza.
Kama kawaida yako umeendelea kulishwa matango pori.Uliza kwanza upewe ufafanuzi wacha unafiki wa kujifanya unajali sana kwa jambo usilolijua.
 
Nasemaje ombea sina uwezo tu lkn dawa ya mtu wa aina yako ni kukubandikia hali ya wale wanaoumia ili usikilizie pinch vizuri,issue ya Mafisango ksbb ina mkono wangu nikiwa kama mhanga wa rambirambi niliyoitoa pale TCC Chang'ombe kutofika kwa walengwa ninaifahamu vizuri sana kwahiyo usijaribu kubishana na mimi kwa lolote kuhusiana na hilo...eti ubalozi wa Congo ulizuia kutolewa kwa rambirambi kwasababu 3 parties zinagombea....foolish...hivi unaelewa maana halisi ya rambirambi wewe? ungeniambia kuwa wamezuia haki zake za msingi (contributions za PPF/NSSF if there's any,salary's arrears n.k) ksbb ya hiyo mivutano ningekuelewa lkn rambirambi......hivi unafahamu kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya pole (rambirambi) iliyotolewa wakati wa msiba na haki za msingi alizoziacha Marehemu....tunachoongelea hapa ni zile pole tulizotoa wakati wa msiba,zile na zenyewe zinahitaji kuumiza kichwa kuwa ziwakilishwe kwa nani,kwani mwili ulikabidhiwa kwa nani?, embu usinitie hasira nisije kupigwa bann bure na Kagame ndo kwanza inaanza
Kistaarabu kabisa nakuomba uachane na hii issue.
 
Kweli wewe ni mtambo haswa.Umeambiwa kuna parties 3 zinazogombea kupewa rambirambi na na haki zingine
za marehemu Mafisango na bado huelewi.Eti kuniomba kistaarabu na vitisho uchwara vya kuogopa ban.Wacha kuja na sweeping allegations zisizokuwa na ukweli na uone kama kuna mtu mwenye akili timamu atarespond.
 
Naanza kujistukia huenda nikawa nabishana na mtu either asiyekuwa na akili timamu or aliyeandika nyimbo za bongofalvour kwenye mtihani wa Form Four, unataka kuniambia wewe na viongozi wenu na huo ulioutaja kama ubalozi wa Congo vime'group hivyo vitu viwili kwenye red na green hapo pamoja?
 
Kipi usichokielewa wewe zuzu.Vimekuja vikundi vitatu tofauti vyote vikidai vinamwakilisha marehemu Mafisango
na kudai wapewe haki zake na rambirambi.Simba ikawasiliana na ubalozi na kupewa ushauri wasitishe mpaka
utakopatikana ufumbuzi.Marehemu amezaa na wanawake tofauti hivyo haihitajiki papara.Hamna bongofalvour jifunze kuspell.Uliwahi kusema wewe ni same age na mtoto wa Allan Shomari hivyo ukitake consideration level ya sekondari za kata sishangai.
 
Unajua........kwanza sijui nakujibia nini,embu ngoja niachane na wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom