Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Sanctus,
asante sana kwa majibu fasaha.
Hivi hawa NMB ni wateja wenu..... pale TRA mwenge kuna kero sana utasikia hatuna mawasiliano na matawi mengine ...
Mimi nawashauri ninyi (service providers) muwashauri hawa wateja wenu na muwasaidie kufanya "systems dimensioning" ikiwezekana ili waweze kujua uwiano uliopo kati ya number of users, bandwidth, na time management PLUS customer retension. Najua kuna wakurugenzi kibao kwenye makampuni/mabenki ya kibongo ambao walisoma enzi za mwalimu (with regard to ICT).... Sio vibaya kuwa wamesoma zama hizo, lakini wanahitaji ushauri....
Mutensa;
Ushauri wako ni mzuri sana and I wish ungekuwa unafuatwa na clients wengi matatizo yangepungua kwa kaisi kikubwa.
Takwimu tulizonazo zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 85% ya matatizo ya Network na Connectivity yanatokana na mteja mwenyewe yakiwemo:
- Virus katika Network
- LAN isiyo nzuri
- BW over-utilization
- Internal skills ya kumanage Network just to mention a few.
NMB si wateja wetu.